Kwann wasitengeneze za kwao?
Kwanini wasinunue kwa kaka yao urusi au china? Wameweza kumudu gharama za drones inakuaje washindwe kwenye helicopter tena ya rais?
Picha cha ya kwanza ni mwamba wa kuitwa KAVIRONDO. Mwamba ndiye aliyepiga picha iliyotumika kutengeneza lile sanamu la posta. Jina lake 'kavirondo' limebeba asili ya makabila ya kibantu kutokea magharibi ya kenya (waluya na wakisii). Yaliyokuwa yakiishi katika utawala wa ukoloni wa mwingereza...
Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani.
Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa miaka 30. Hata hivyo waliishi kwenye ndoa yenye furaha na upendo wa kila aina.
Miaka 20 baadae...
Mwamuzi wa ligi kuu ya nchini Uingereza, Jarred Gillett atakuwa mwamuzi wa kwanza wa Premier League kuvaa kamera ya video yenye kichwa wakati wa mchezo kati ya Crystal Palace na Manchester United usiku wa leo.
Pia, Gillett atavaa kifaa kilichowekwa kichwani ambacho kimeunganishwa kwenye mfumo...
Kulikuwa na timu iliyoitwa Everton kutoka kitongoji cha Merseyside cha jiji la Liverpool nchini England.
Timu hii ilikuwa ikitumia uwanja wa Anfield, uliokuwa ukimilikiwa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo, John Houlding, mfanyabiashara mkubwa wa Freemason kutoka jiji la...
Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'.
Sasa utofauti wake ni huu hapa, ungana nami Didas Tumaini nikujuze.
✅ England
England au kwa kiswahili...
Wakuu salamu,
Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka?
Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake.
Je, ni...
Watu wasiopungua 40 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia shambulio la bunduki kweye ukumbi mmoja karibu na Moscow, vyombo vya habari vya Urusi vimeripoti.
Watu wasiopungua wanne waliovalia nguo za kijeshi wamefyatua risasi kwenye ukumbi wa Crocus City uliopo Krasnogorsk. BBC imethibitisha video...
JE WAJUA?
Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea...
Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌
R.IP Rais Mwinyi
Mhitimu wa miaka 95 ,David Marjot, kutoka Weybridge, Surrey Uingereza, sasa anatafakari kuisaka PhD, ambayo itamweka chuoni hadi atakapofikisha miaka 102 baada ya kufamikiwa kuhitimu shahada ya uzamili (MA) katika Chuo Kikuu cha Kingston.
David ni Daktari mstaafu wa magonjwa ya akili, na...
Mrembo kwenye hiyo logo anaitwa Jenny Joseph (28).
Mnamo 1992, Kampuni ya "Columbia Pictures" iliamua kubadilisha tena nembo (logo) yake kutoka ile ya awali. Ikumbukwe kuwa hapo awali kulishakuwa na logo nyingi zilizotumika. Safari hii walitaka kuwa na logo ya kisasa na yenye kubeba historia ya...
Majira ya saa mbili usiku wa leo, timu yetu ya taifa, Taifa Stars, itakuwa na kibarua dhidi ya Morocco kwenye AFCON.
Wakati tunaisubiri mechi hiyo muhimu, si vibaya tukafahamu asili ya jina la TAIFA STARS.
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Paul West Guivaha, ndiye aliyetunga jina la timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.