Mie huwa najiulizaga yawezekana vipi wake wawili washee mume afu wasiwe na wivu. Manake kama Mungu tu ana wivu na watu wake sembuse siye binadamu? Pia huwaga sijui wanapokubali kuolewa mitala wanawaza nini.Kwasababu haya waliyajua toka siku ya kwanza walipokubali mitala. Nitashangaa sana kama katika mitala yao watashindwa kuforesee hali kama hizi hadi ziwafanye waanza kulumbana kama wasokuwa na akili. Mie ningekuwa mimi ningekuwa rafiki wa kila mke mwenzangu manake najua mguu wa 3 tunashea.