Jaribu 0714590955. Huyo jamaa ni jembe hapo zukuAsee baada ya ITV,KISS KE,ZUKU ACTION na zingine nyingi kama ZUKU SWAHILI kugoma kukamata kwenye kifurushi cha kwanza(13000) nikajaribu kuwa tafuta kwa simu bila mafanikio nikaamua kuamua kurestore setting kitu ambacho kilipelekea kufuta chaneli zote,nikaamua kuseach upya channel zimerudi channel za nje tu,tena na zenyewe ni chache.
NAOMBENI MSAADA WENU KWA MWENYE UELEWA AU MWENYE NAMBA ZAO.ZINAZOPATIKANA.
Nawapongeza kwa kutuwekea starTV
kinachoniboa kwa hawa Zukuku hawaweki free to air Channel za home
Kwakweli hili nalo linaniboa sn sijui kwann...inamaana ile sheria haiwauhusu?
Jaribu hii 0768 984200
Asee baada ya ITV,KISS KE,ZUKU ACTION na zingine nyingi kama ZUKU SWAHILI kugoma kukamata kwenye kifurushi cha kwanza(13000) nikajaribu kuwa tafuta kwa simu bila mafanikio nikaamua kuamua kurestore setting kitu ambacho kilipelekea kufuta chaneli zote,nikaamua kuseach upya channel zimerudi channel za nje tu,tena na zenyewe ni chache.
NAOMBENI MSAADA WENU KWA MWENYE UELEWA AU MWENYE NAMBA ZAO.ZINAZOPATIKANA.
Nawapongeza kwa kutuwekea starTV