Halikuwa mkurugenzi wilaya BIHARAMULO , Ndiye aliyetangaza matokeo ya CHADEMA KUPATA USHINDI bIHARAMULO, Before alikuwa Muleba. Kwa sasa kahamishiwa ilemela. Ni alhaji
kanga usiseme kitu usichokijua. Ni mtu mwaminifu, mchapakazi. Ameanza kama Mwalimu akjiendeleza mpaka alipo. Hafungamani na upande wowote ndio maana hata kule Biharamuro alitangaza matokeo kihalali kabisa. So he's strong leader.