M mkigoma JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 1,180 Reaction score 309 Mar 22, 2015 #1 Zitto Kabwe amekabidhiwa Lucian mwaikenda katibu wa Tawi la ACT tegeta, ambapo Leo ataongea na waandishi wa habari katika hotel ya Serena kuanzia saa 4
Zitto Kabwe amekabidhiwa Lucian mwaikenda katibu wa Tawi la ACT tegeta, ambapo Leo ataongea na waandishi wa habari katika hotel ya Serena kuanzia saa 4
M mzee waukweli JF-Expert Member Joined Mar 17, 2015 Posts 206 Reaction score 49 Mar 22, 2015 #2 Kila raheli zitto umeponzwa na tamaa ya kutaka madaraka makubwa kabla hujapevuka kisiasa.
A A 2 the D 2 theL New Member Joined Feb 16, 2015 Posts 4 Reaction score 1 Mar 23, 2015 #4 Wameichafua kigoma. Alianza Kabul wakaja akina kafulila na as zitto back kg in wababaishaji
uti Member Joined Aug 27, 2014 Posts 17 Reaction score 6 Mar 23, 2015 #5 Kila raheli zito mungu you pamoja nawe