Zitto kufunguliwa mashtaka endapo...

Yaan wewe ni Full Malaya wa Ki Siasa
Mara ACT,Mara CCM
Njaa zitafanya uolewe kama yule Shoga Noel wa Arusha alivyoolewa

Si huwa mnasema kuwa ACT ni CCM B au!!
Kwahiyo si nikiwa CCM nakuwa ACT automatically?
Au haiko hivyo shemeji!!
 

Ashitakiwe na afungwe tu hana adabu
 
Wapinzani wengine kama hawa watakuwa ni magoli ya mkono yaliyoandaliwa na CCM yatakayotumiwa kwenye uchaguzi wa marudio ndio maana CCM wameng'ang'ania uchaguzi urudiwe kwa kuwa tayari wanauhakika wa kushinda kwa kutumia magoli ya mkono ambayo mengine yako upinzani.
 
Mbona maalimun seifu naye aliwaambia kuwa kama amevunja sheria
kujitangazia ushindi basi waje kumkamata...wakagwaya mapaka leo hakuna
aliyenusisha pua yake kumkamata Maalimu seifu .
 
Last edited by a moderator:
Mbona maalimun seifu naye aliwaambia kuwa kama amevunja sheria
kujitangazia ushindi basi waje kumkamata...wakagwaya mapaka leo hakuna
aliyenusisha pua yake kumkamata Maalimu seifu .

Huwezi kumlinganisha maalim seif na zzk
 
Last edited by a moderator:
Utajaza mwwnyewe cha msingi ni zzk aombe radhi tu

Kwa kosa lipi? Kwan Shein yupo kihalali madarakani!? Kilichofanya mtokwe na povu bungeni sababu si ilikua shein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…