nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
zinachekesha ila ndo nashindwa kuelewa,hazichangiwi sana kulinganisha na zinavotembelewa,sijui ile lugha ilotumiwa kwa baadhi yake?!.........ina mana hazichekeshi au?
hazichangiwi sana mkuu,au ndo zimechuniwa?Sijakuelewa mkuu namaanisha nini hapo?
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected
Vilaza wengi humu.
Zinachekesha sana hadi members wanashindwa kuandika ili wachangie
nelly nely, ni mtazamo wako tu kama unavyosema lakini sidhani kama ulitumia vigezo vya kuridhisha. Mimi nakumbuka nilichangia thread No.1 ya Smile, No 2, 5, na 7. Labda uondoe hizi kwenye orodha yako ya thread zilizochuniwa! Wala hazikuwa na lugha ya kusumbua au mbaya.......... sijui unamaanisha nini unaposema hapo juu:'Nahisi tatizo kubwa ni lugha iliyotumiwa'Nahisi tatizo kubwa ni lugha iliyotumiwa,ila hizi zimefeli........tujipange ..
1;Balaa balaaa by Smile
2;paka amekufa by willbert1974
3;misemo ya hatari by mwakibinga.jr
4;petro kalete jiwe by nelly nely
5;man and police in dar by piper
6;maswali mengine by amiride
7;talaka katikati ya fungate by bazazi
8;polisi,crazy!kreizi! by nonda!
Ni mtazamo tu...........,ka zimechuniwa hivi!!!!!!!!!!!!!!
chofa chogenda=tutakufa tutaenda
chofa chogenda=tutakufa tukitembeaumejitahidi kutafsiri lakini umekosea kidogo. JARIBU TENA. Ukiweza nakupa zawadi.
chofa chogenda=tutakufa tukitembea
Hata hii sred ni moja hapo ya zilizofeli!!!...lol