Muziki unahitaji ubunifu wa hali ya juu ili kuwavutia wasilikilizaji wako.Softwares nyingi za Audio production huwa zinakuja na built in plugins ambazo hufanya kazi mbalimbali km kukupa selection ya instruments utakazo n za kufanyia mixin n mastering.
Leo nitazungumzia zaidi kuhusu instruments vsts kuhusu mixing n mastering vsts nitazungumzia kwenye nakala zijazo.
Kama majina ya vsts yalivyokuwa tofaut bac hata features zake zipo tofaut pia nitaziorodhesha baadhi ambazo unaweza kuzipata na kuzitumia kwa urahc japokuwa nyingi ni za kununua unaweza ukapata crack zake kwa urahc vile vile vsts hz unaweza ukazitumia ktk uandaaji wa aina tofaut za muziki kumbuka vst yyte unaweza kutengenezea aina yyte ya muziki ila melodies n song arrangements ndo zinatofautisha aina tofaut za muziki:::
Refx Nexus 2
Hypersonic 1&2
Dimension Pro
Sylenth
Dvs saxophone
Sample Tank XXL
samplemoog
RefX vanguard
Monstrous
Purity
Ravity
Hypercanvas
Edirol Ochestral
Miloslav Philharmonic
Sonik Synth
Real guitar
Z+ta
Dvk choirz
Stylus Rmx
NI Konkat[+expansions zake]
NI massive
Lazysnake
quadraSID
subboombass
TheGrand
FireBird
Electrax
Gladiator
Super Quartet
IL Harmless[Johnny Juliano Edition]
PunchMulti
Blade
ACE
Diva
Predator
Fabfilter One
Fabfilter Twin
SampleTron
Dune
Zebra
Zipo nyingi sana hizo nilizoziandika hapo ni baadhi tu pia waweza kuongezea km kuna yoyote ambayo unaifahamu.Nimeshindwa kuweka links za kukuwezesha kudownload plugins kutokana na shughuli zimenizidi ila km utakuwa unazihitaji ni PM thn mm nitakuelekeza wapi kwa kuzipata.
Hapa chini nimeweka baadhi ya vsts n presets za plugins mbalimbali ambazo unaweza kuzidownload na kuexpand Plugins Library yako km ukihitaji