ZFA kiswahili kinatosha.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Katika mashindano ya Mapinduzi Cup ya mwaka huu nimeshangazwa na timu ngeni za Spice na Clove United. Haya ni majina ya timu kombaini ya visiwa vya Unguja na Pemba kila kimoja, je ZFA wangeziita kwa kiswahili si ingekuwa busara zaidi?
 
Walivyoita kwa hiyo Lugha wewe imekukera nini? Au imeathiri nini ktk hapo.
 
hivi unajua kwamba hizi timu zinaendeshwa kwa hisani ya watu wa Marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…