Najiuliza,
Nani alianza kutupa mistari ya kumtaka mwenzake kati ya hawa watu wawili, Diamond na Zali?
Swali langu ni langu, sina team..so please stick to the topic, trying to reason.
Kwa mtindo huu wacha nijipange nianzishe na mimi gazeti langu la udaku nile pesa za wabongo, hahahahaha unamkuta mzee amekaa kabisa serious anasoma afu anaamini yaliyomo...
Ila ni nzuri inazidi kuibrand couple kwanini usitoe m90 ukiwaita kwa show??