Umeweka nini sasa chini ya hayo ma_emoji?😓😓Mambo ni motoo usiku huu. Baada ya Diamond kudai alimuacha Zari sababu alichepuka na Peter wa PSquare pamoja na personal trainer wake, Zari naye amerudisha mapigo kwa kumwambia Diamond kwamba alishamtumia Black Rose hivyo asianze kufukua makaburi.
Zari ameenda mbali zaidi kwa kusema Diamond asitake na yeye afukue makaburi kwani atatamani ardhi ipasuke aingie kujificha.
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
Weka screenshot acha ujinga
Naona jinsi gani ulivyo na kiu.Weka screenshot acha ujinga
Hahaha, nimecheka aisee.
Naona jinsi gani ulivyo na kiu.
Diamond alitaka watu mumzungumzie either kasema ukweli or uongo lakini amefanikiwa malengo yake kwa 100%Tatizo la mwakitombile ni muongo sana alimkana Dee sio mtt wake kumbe ni damu yake kabisa, alimdinya kale katoto madale guest house halafu akasingizia kale katoto ni demu wa dancer wake.
Mambo ni motoo usiku huu. Baada ya Diamond kudai alimuacha Zari sababu alichepuka na Peter wa PSquare pamoja na personal trainer wake, Zari naye amerudisha mapigo kwa kumwambia Diamond kwamba alishamtumia Black Rose hivyo asianze kufukua makaburi.
Zari ameenda mbali zaidi kwa kusema Diamond asitake na yeye afukue makaburi kwani atatamani ardhi ipasuke aingie kujificha.
View attachment 1079554
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
View attachment 1079551
View attachment 1079550
View attachment 1079549
View attachment 1079548
Diamond alitaka watu mumzungumzie either kasema ukweli or uongo lakini amefanikiwa malengo yake kwa 100%
Diamond ameshakuwa talk of the town out of blue. Kweli au si kweli mjomba ?Kaona Tanasha hana kiki ana nyota ya giza ameamua amzungumzie Zari.
Na akitoka S Korea kufanya show anaachia Mashine tena Hahahahahahahahah Only one SimbaDiamond ameshakuwa talk of the town out of blue. Kweli au si kweli mjomba ?