Naona bado Tanzania kuna watu wana chembe za ukabila.Safi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
Tulia utachek muv mwenyeweeAlshabaab wamesemaje?
Happy mbona tunatishana tena?Tulia utachek muv mwenyewee
Skutishi but tuiombee nchi yetuHappy mbona tunatishana tena?
Teh,kwani kikinuka kule na huku watakianzisha?Skutishi but tuiombee nchi yetu
Unashangilia Umwagaji damu?Teh,kwani kikinuka kule na huku watakianzisha?
Yetu macho,movie ndo ishaanza tena!
Mnaandika nini sasa!! Kwa lugha ya kwetu kule uswahilini mnaandika "utumbo"?Hatuandiki mashairi hapa wala nyimbo za kwaya kwamba tunatafuta vina.
Kinachoendelea Zanzibar ni CCM wanataka kuwadhulumu CUF ushindi wao. Kwa kweli naungana na wewe kuwa wanaochekelea ni wapuuzi wa hali ya juu sana!!Kuna watu wanashangilia kinachoendelea Zanzibar. ..ni wapuuzi wa hali juu sana.!
Moto chini?Unashangilia Umwagaji damu?
We nadhani ni Muhutu.
Kwenda kwenu shetani mkubwa.
Hawa walikwenda kuomba nini ?Naona bado Tanzania kuna watu wana chembe za ukabila.
Wa zanzibari wakidai haki zao wanataka kurejesha wa Arabu lakini watanganyika wakidai haki zao hakuna kusema kama wanataka kumrejesha mngereza au mjarumani.
Siasa mbovu za chuki:
Kikwete kawenda kuomba Omani?
Lukuvu hakwenda kuomba Omani?
na wengine tele vipi hawo au wazanzibari tuu ndio kwa wawo ni makosa. be open mind.
It is time for the truth. you cannot full all the people all the time.
hauna chakuchangia kwenye hii thread?5+6=11.Hii ni signature ya Illuminati or The Freemasons.Sasa unajitambulisha?
watakao pigwa waleta fujo mkuuSEMA TUTAKIONA MAANA FUJO HAICHAGUI WAWEZA ANZA WEWE
Wale waliofanya fujo na kuleta fyokofyoko tarehe 27.10.2015 Bwawani Zanzibar walivaa kombat za kijeshi kabisa na kumteka makamu mwenyekiti wa ZEC, kwa nini mpaka leo hawajashughulikiwa? Au sheria inafuata mkondo mmoja tu?hahahaha wajalibu kuleta fujo sheria ifuate mkondo wake