kina gogo la shamba tulishayasema hayo ubaya wa ccm na viongozi wa serikali hii badala ya kufanyia kazi mawazo yanayotolewa na wananchi wao wanawaandama wanaotoa mawazo,hapo utasikia wanafungia magazeti yanayohabarisha hizo habari badala ya kuangalia tatizo
Unakumbuka mwaka 95 tulivyowadumbuza habarini wengine wapo kenya mpaka leo hawajarudi sasa ile cha mtoto mwaka huu itakuwa zaidi ya hapo ingizeni mguu muone jpm ni zaidi ya mkapa.
Unakumbuka mwaka 95 tulivyowadumbuza habarini wengine wapo kenya mpaka leo hawajarudi sasa ile cha mtoto mwaka huu itakuwa zaidi ya hapo ingizeni mguu muone jpm ni zaidi ya mkapa.
acheni ujinga wenu kwani ccm si ndio wanaofanya ubabe zanzibar wangeacha cuf si ndio mshindi au nyani haoni kundule mnakuja na propaganda zenu acha nao waisome no.