mh dudus kwa hivyo unataka iweje....? au ndio nyie mnaofikiria kwa makalio....
Sitaki chochote zaidi ya kuweka rekodi sawa; kwa faida ya sasa na vizazi vijavyo. Hii elimu ya Mulugo kuna vichwa maji wengine wala hawajui kwamba Zanzibar ni ndogo kuliko mkoa wowote wa Tanganyika. Ni muhimu sana wakajua hilo.

sio mbaya kujua kama kweli ndio dhumuni lako, lakini elewa ukubwa ama udogo wa Zanzibar hauna nafasi ktk Muungano, bado Zanzibar ina haki sawa na Tanganyika ktk Muungano huu,
Be serious dude! Zanzibar ina haki sawa Tanganyika? Give me break, kama ni Zanzibar hii tunayoifahamu inayoshindwa kulipia bill zake za umeme! Can't see that happening
Wilaya ya kinondoni ni kubwa kuliko Zanzibar.
*sitaki ubishi....vielelezo,fateni pale manispaa ya kinondoni.
Usiniambie kutoka ncha ya Kusini kabisa hadi ya Kaskazini kabisa ya Zanzibar ni less than Dar - Chalinze (109)! Halafu eti tuwe sawa kwa kila kitu.
Na upana ni kutoka Posta mpya mpaka Bunju .Aisee !
Siku hizi hazichapishwi tena Atlas,kwani kila baada ya miezi miwili tuna pata mkoa mpya!Dah! Mkuu umenistua; unajua bado nakumbukia ile Atlas ya enzi za Mwalimu niliyoitumia STD V. Kumbe kuna changes nyingi zimetokea hivi karibuni; kama Lake Nyasa nasikia limetoweka ghafla.
Nafkiri tumeona mfano wa watu wanaofikri kwa kutumia makalio.......haina haja kuchangia nahisi...ni mtu Mjinga na mshamba
Usiniambie kutoka ncha ya Kusini kabisa hadi ya Kaskazini kabisa ya Zanzibar ni less than Dar - Chalinze (109)! Halafu eti tuwe sawa kwa kila kitu.