Au nipe namba za simu kaka.mkuu tuongee biashara. ni check dm faster
Laki 3 hata haijafikia bei ya pump. mpira wenyewe karibia laki 2.Habari za wakati huu wana jamvi,
Nauza zana hizi kwa wenzangu wanaojihusisha na kilimo cha kumwagilia.
Water pump 1 used 1 month.
Koromeo 1 used 1 month (hii ina urefu wa mita 3).
Na mpira wa mita 100 (bado mpya).
Mahali Dar es salaam.
Bei sawa na bure. Jumla nahitaji laki 3 tu.
Mzee kuwa na amani. Mpira ni 130000Laki 3 hata haijafikia bei ya pump. mpira wenyewe karibia laki 2.
hizo mali ni za kwako mkuu?
Ungeweka bei zaidi pia wangelalamikaMzee kuwa na amani. Mpira ni 130000
Pump ni 250000
Koromeo ni 60000
Jumla ni 440000. Hapo unavipata vikiwa vipya.
Mimi nauza laki 3 kwa pamoja. Maana nishavitumia kama mwezi na wiki 1. Kwenye kilimo cha tikitimaji.
Acha mawazo HASI.
Mkuu huu pump mpya kweli?Wadau!
Kwa mwenye uhitaji na water pump,hii hapa haijawahi kutumika.
Bei:Tsh 180,000
Ipo Dar-es-salaamView attachment 1509504View attachment 1509503
Ndugu hyo haijawahi tumika hata siku moja,usitishike na hilo vumbi imekaa stoo miaka 4 tngu nimeichukua.Mkuu huu pump mpya kweli?
Wadau!
Kwa mwenye uhitaji na water pump,hii hapa haijawahi kutumika.
Bei:Tsh 180,000
Ipo Dar-es-salaamView attachment 1509504View attachment 1509503
Ndugu utanisamehe,mi sina uzoefu na hivi vitu kabisa.Sorry hii pump inaweza kuvuta maji kwa kisima kirefu mita 40?
bado vipo? Nicheki 0656669989Wadau!
Kwa mwenye uhitaji na water pump,hii hapa haijawahi kutumika.
Bei:Tsh 180,000
Ipo Dar-es-salaamView attachment 1509504View attachment 1509503
Kama bado vi po nicheki 0656669989Mashine bado mpya kabisa.
Imetumika mwezi mmoja tu.
N.b, hata mpira bado ni mpya kabisa, haujatumika hata siku moja.
Kwa wale wanaojua bei za vitu hivi madukani, bei hii ninayouza ni sawa na bure!!
ZINGATIO: SIUZI KIMOJA KIMOJA. VINAENDA KWA PAMOJA.View attachment 1508154