Falsafa ya Mpira iache ilivyo mdau.Yaani huyu Molinga aende Waydad Casablanca?
Labda WHY DADY ila Waydad ni ngumu hata kwa mfano.
Molinga waweza kuta hana mkataba na Yanga dizaini ya Makambo ili Zahera apige zote wakati wa mauzoZahera kuna jambo ambalo analifanya afu YANGAwako kimya tu. Haiwezekani ktk game 2 za ligi plus zile za mwanza amchezeshe Molinga almost dk 360 zote wakati Yanga kuna washambuliaji wengine. Huyo molinga kwa maneno yake anasema anahitaji kupunguza mwili kwa maana nyingine hayupo sawa kwanini wengine hawachezi. Game na ruvu hata ya coastal nilitegemea atampa dk chache iliwengine wacheze pia kutafuta ushindi.
Bado yanga haionekani kutafuta ushindi hata goli limekuja tu.
Simba haiogopi kocha yeyote, hata AusemsMikia tumewastukia mnamuogopa sana Zahera
Af Zahera anaiona yanga ya kawaida sana utadhani Toto African,
Ana kakiburi flan hv
Mkuuu katika Mashabiki lialia wa Yanga hapa JF huna Mpinzani. Hongera sanaMikia tumewastukia mnamuogopa sana Zahera
Tuweke Kumbukumbu vzuri..Mikia bwana unajua wanachekesha.Iko hivi wewe mkia kaa chini nikupe darasa la mpira.
Ivi kama Molinga akifanya vizuri Yanga,akauzwa kwenda iwe ni ulaya,Asia,America au hapahapa Africa sifa inabaki kwa Yanga Africa.na Tz.samata anasifika kwa TP mazembe sio simba kwa sababu ndio iliyomtoa kimataifa.Kama Yanga ikifanya vizuri katika kuuza wachezaji hata kama haifaidiki ipasavyo lakin inaipa heshima timu na nchi.
Msuva amefanya vizuri Moroco ndo maana wananunua vijana wetu wengine kuwapeleka Moroco,bila samata Genk wangemwona Kelvin John?
Simba mbona ina wachezaji bora lakin haiuzi nje ya nchi Kama Yang@? Jibu ni kuwa wanatambua kuwa wachezaji wa simba sio vipaji asilia.Ndio maana baada ya msimu jana kufanya vizuri kimataifa wakazimia.Saiz ndo wanazinduka tena.
Mpira ni strategy.Yanga ni timu Ya mipango sio blablabla kama mbumbumbu
hivi Kagere mbona sijawahi kusikia kuna timu huko nje inamuhitaji? au kwa sababu mechi za kimataifa anapotea kabisa
Mo Dewji yupo kihisani au kiufadhili zaidi?Bado wanaYanga wana kumbukumbu yenye maumivu juu ya Biashara ya Heritier Makambo kwenda Horoya. Maumivu yakiwa bado hayajapoa kwa sasa Maabara yupo Molinga anasukwa.
Anapewa Promotion ya kila namna, anapewa dkk 90 za kucheza, anapambwa kwa kila namna na mwisho wa siku Zahera atamwita kwenye top 50 ya timu ya Congo ili KumBrand na kupaisha thamani yake.
Mwisho wa Msimu huyoooo Wydad Cansablanca bila Yanga kuambulia chochote.
Biashara ya Zahera itakuwa imetiki
Yanga tustuke mapema, Klabu iache kutumika kama Academy ya Zahera kubrand wachezaji na wa Kicongo na kuuza. Hata hivyo namsifu Zahera kwa ujanja na Elimu hii ya hali ya juu. Ni ushauri tuu Wanajangwani
Uko Kijiji gani mkuu kiasi kwamba hujui hisa anazomiliki MO ndani ya simbaMo Dewji yupo kihisani au kiufadhili zaidi?
Nipo Mkoani Dar.Uko Kijiji gani mkuu kiasi kwamba hujui hisa anazomiliki MO ndani ya simba