Asalaam Aleikhum.. kupo nipo nipo ila haya mambo ya kijijini ya kutumia mtandao kwa simu kwa kweli sijayazoea. Nitarudi mjini muda si mrefu tumekuja kusalimia wakwe kidogo. Ukiondoa cellphones zilizozagaa.. kijijini hakujabadilika, duka la mzee Mswahili bado lipo pale pale, ile nyumba kwenye kona kwenda shuleni iko vile vile kama inataka kudondoka.. ila huko mjini utadhani niko Detroit!
inategemea na quLITY ya mchango wako.....mara nyingi wengi wetu tunatumia ile haki yetu ya uhuru wakujieleza na kuandika, Mwanakijiji hutumia pia haki hiyo na moyo wakujitolea nguvu na akili zake katika kuusaka ukweli wa mambo, sasa na wewe ukiitaka hiyo hadhi anza sasa kutumia muda wako kuitumikia nchi yako kwa nguvu na akili zako ili ukitoweka humu jamvini watu waulizane kulikoni?Ila sisi wengine tuki ondoka hata hatu tafutwi!!