Kama mmenotice sasa hivi yuko Msemaji Mkuu wa Bi Mkubwa, familia yake na Serikali kwa ujumla.. Hana cheo chochote ila ndio Msemaji Rasmi. Bwana Mkubwa Muhindi Gabachori R.Aziz. Akiguswa tu Bi Mkubwa, huyu lazma achomoke. Msaidizi wake ni Mstaafu.
Michezo yao wanashindwa hata kujificha, kila kitu ni wazi hata mtoto mdogo anaona au anaweza kuconnect dots.