Ngumu kumeza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 577
- 354
Exposure unayopata ukiwa unasikika redioni ni kubwa mno. Maana unawapa mwanya watu na mashabiki kukukubali and guess what kama watu wanakukubali? Ile tayari ni CV kubwa tu ambayo kwa mda mchache ingeweza kumpatia mafanikio makubwa. Sasa sahiv anapiga kwenye hizo club anasikika na kina nani? Hata kama anapata pesa? Na isitoshe alivokuwa eatv pia alikuwa anapiga kwenye hizo clubs maana mda alikuwa nao. Hili ndo tatizo la wabongo wengi wanapohisi kuonewa badala ya kupambana na ku justify their claims wao wanaamua ku quit. Sasa yupo wapi?? Fucking shit..
Ulikua mchepuko huo...buzi limekata kambaMkuu umeongea kweli sana aisee, ila punguza hasira daaah!
Ila Kaka pale ni njaa. Yaani utaratibu wa kuona kwamba wewe mchango wako mkubwa akuongeze maslahi ni ngumu sana, pale jina tu lakini ujira hamna. Hivi unakumbuka mtangazaji maarufu wa habari Rehema Mwakangale (Rip) alipokufa ndio ikafichuka hali halisi ya ajira yake?Exposure unayopata ukiwa unasikika redioni ni kubwa mno. Maana unawapa mwanya watu na mashabiki kukukubali and guess what kama watu wanakukubali? Ile tayari ni CV kubwa tu ambayo kwa mda mchache ingeweza kumpatia mafanikio makubwa. Sasa sahiv anapiga kwenye hizo club anasikika na kina nani? Hata kama anapata pesa? Na isitoshe alivokuwa eatv pia alikuwa anapiga kwenye hizo clubs maana mda alikuwa nao. Hili ndo tatizo la wabongo wengi wanapohisi kuonewa badala ya kupambana na ku justify their claims wao wanaamua ku quit. Sasa yupo wapi?? Fucking shit..
hali halisi ya ajira ya hayati rehema ilikuwajeIla Kaka pale ni njaa. Yaani utaratibu wa kuona kwamba wewe mchango wako mkubwa akuongeze maslahi ni ngumu sana, pale jina tu lakini ujira hamna. Hivi unakumbuka mtangazaji maarufu wa habari Rehema Mwakangale (Rip) alipokufa ndio ikafichuka hali halisi ya ajira yake?