[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Yanga bingwa kombe la kimataifa(kagame cup)mara ya pili mfululizo,"Rais" Manji alinda vyumba vya wachezaji uwanjani visihujumiwe na watu wa bakhresa
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Rais wa Yanga,bwana Yusuf Manji akikaba mpaka penati kuhakikisha no hujuma leo jioni uwanja wa taifa
Yanga wakishangilia baada ya kurudishiwa "ndoo" yao tena [/TD]
[/TR]
[/TABLE]