Jamani marafiki, nauliza jinsi ya kupata wimbo wa Westlife (remixed) unaoitwa 'YOU RAISED ME UP' lakini kwa tafsiri ya kiswahili (siyo rylix yake ya kiswahili).
Km unamfahamu huyo mwimbaji au album yake tafadhali nidondosheeni tips/info hapa.
Shukrani