Punguza ujuaji kwani kakuambia ni balozi WA yas, YAANI Mimi kuuza chipsi ni lazima niwe mlaji piaMkuu.! Tangazo lako ni zuri ila hapo mwisho umekosea ulipaswa kuweka namba ya Yas na si vodacom.
Yaaani na pocket wifi bei zake ni hizo kwa mwezi???Habari wakuu.
Naunganisha vifurushi vya YAS POSTPAID vipo unlimited na ambavyo sio unlimited kwa kila mwezi.
Pia nauza na device(ROUTER)
View attachment 3510753
Hiyo kubwa ni Tshs. 250000
Hiyo kubwa ya kati ni 105000
Hiyo pocket Wifi ndogo ni 50000
Package zake ni Unlimited kama ifuatavyoView attachment 3510754
Pia nina bando za kawaida za Yas ambazo ni PostpaidView attachment 3510755
Ukihitaji nicheki 0765991551
Hiyo ya 250K inaunganisha idadi kubwa ya watumiaji nadhani wanafika hadi 50+. Hii ya 105K inaunga watu 32 kama sijakosea.Tofauti ya hizo router kiutendaji ni ipi?
Na hicho Cha 50 ni unlimited?Hiyo ya 250K inaunganisha idadi kubwa ya watumiaji nadhani wanafika hadi 50+. Hii ya 105K inaunga watu 32 kama sijakosea.
Kwa upande mwingine bando unayoweka inadetermine mbps na hii ni kwa kila device haijalishi bei yake kama ni ya 250 au 105 K
Kwa uelewa wangu nadhani utendaji kazi unapishana kwenye number of users kwa kila device.
NOTE: Natumia kile cha 105K kiko vizuri sana
Hata kwenye simu yako inawezekana nicheki whatssap 0765991551Nikiwa na router yangu naweza unganishwa kwenye unlimited?
Hiyo ef50 ni bei ya kifaa bila kifurushi na bei ya vifurushi nimeorodhesha pale.Na hicho Cha 50 ni unlimited?