Sema Yanga haiwezi kushindana na Mo, ni tabia ya kikahaba kuringia pesa za mwanaume mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna anae lingie pesa zile nihisa anamiliki tu mfumo wa uendeshaji wa club ya simba sio kama yanga,Tunacho angalia nimafanikio ya club yetu,nyieo komaeni kupeleka bakuri GSM muone kama mtatoboaKulingia pesa ya mwanaume mwenzio ni u.s.h.o.g.a na u mama, jitafakari
Tarehe 4,tunawapiga mapema sana sio chini ya goal 3 na baada ya kipigo watajitetea kwa kusema , Team yetu haijapata Muunganiko mzuriYaani hata ukweli huu bado watu wanaupinga? Kweli sikio la kufa halisikii dawa bora hilo sikio tukalikate kabisa hiyo tarehe 4
Kati ya hizo hisa zako ngapi, mimba hiyooo ya gabachori siku si nyingi lazima labour iwahusu....Hamna anae lingie pesa zile nihisa anamiliki tu mfumo wa uendeshaji wa club ya simba sio kama yanga,Tunacho angalia nimafanikio ya club yetu,nyieo komaeni kupeleka bakuri GSM muone kama mtatoboa
Umenena mkuu. Wanaringia hela za mo. Muda wowote na yeye akichomoa battery wanarudi matopeni. Shabiki mandazi huyuSema Yanga haiwezi kushindana na Mo, ni tabia ya kikahaba kuringia pesa za mwanaume mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwer kabsaa mfano hao wanaotamba na hela za bure za mwarabu wa G.S.M, wanachokitafuta kwa huyo mwanaume watakipata ๐๐๐๐๐Kulingia pesa ya mwanaume mwenzio ni u.s.h.o.g.a na u mama, jitafakari
Hakuna muamala ngoma ngumuTarehe 4,tunawapiga mapema sana sio chini ya goal 3 na baada ya kipigo watajitetea kwa kusema , Team yetu haijapata Muunganiko mzuri
SIMBAAAAAAAAAAA Baba lao
Mbona kama povu mzee,vipiSema Yanga haiwezi kushindana na Mo, ni tabia ya kikahaba kuringia pesa za mwanaume mwingine.@Kamgomoli,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga haina wa kushindana naye Tanzania kwa sasa.Yanga wamerudia tena mbwembwe zao. Hawataki kuamini wao si matajiri tena. Wamefulia. Yanga hawana uwanja, mishahara ya wachezaji ni tatizo, malipo ya usajiri ni tatizo, hela ya kambi na chakula ni tatizo Zahera alitoboa siri zote. Ni shabiki maandazi pekee ndiye anaeweza kubisha ukweli huu.
Ni juzi tu hapa GSM kawasadia kulipa mishahara na madeni kadhaa ya wachezaji. Ghafla wameanza majigambo yale yale ya miezi 6 iliyopita. Wanajitapa sn wkt fedha za Dante hadi leo wameshindwa kulipa. Kwa sasa Yanga haiwezi kushindana na mtani wake kila hali wala hawawezi kushindana hata na Azam.
Nazani Yanga wanashindana na historia yao wenywe. Wanashindana na Yanga ya Manji iliyokuwa na pesa nyingi bila malengo. Picha za Manji zilizopo ukutani pale jangwani ndizo wanazoshindana nazo na si Simba wala Azam za sasa.
Ukiwa maskini ni bora kuonyesha sura ya unyonge ili wenye nacho wakuonee huruma vinginevyo utakula ujeuri yako.
Matajiri wenye pesa zao wakiona mbwe mbwe za Yanga wanaahirisha kuweka pesa zao.
Time is the right judge tukutane tarehe 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Yanga haiwezi kushindana na Mo, ni tabia ya kikahaba kuringia pesa za mwanaume mwingine.@Kamgomoli,
Sent using Jamii Forums mobile app