Hakuna akitu kipya ulicho kiandikaa hapa.
Na pia hujafanya UCHAMBUZI umetoa Maoni.
1. UCHAMBUZI WA MPIRA ni maelezo yote yalinyooka kuhusu timu za mpira, management, Bench la Ufundi (Technical bench) MIFUMO wanayotumia na UCHAMBUZI WA mchezaji mmoja mmoja nk.
Kama ungeleta UCHAMBUZI ulipaswa kuwa.
1. Uimara WA Kila timu.
2. Madhaifu ya Kila timu Tactically, technically nk
3. MIFUMO ya Hizo timu 4:4:2- 4-2-3-1 3:5:1 :1 - (style of play)
Nyumbani na ugenini.
4. Koach ni WA wapi na Anatumia MIFUMO Gani???? ( Style of play nk)
5. Mafanikio ya MAKOCHA waliopo Katika timu husika.
Ikiwezekana hata historia za MAKOCHA.
6 . Wachezaji hatari na wakuchungwa zaidi.
7 . Timu unazozipa nafasi na kwanini nk.
Wewe umeandika maoni na si uchambuzi.
HESHIMUNI SANA UCHAMBUZI WA MPIRA.
NI ELIMU UNAYOIPATA KWENYE COACHING WAKATI TUNASOMA COACHING.
NYIE HUWA CHAMBUZI WA MPIRA