Umetafsiri Mpira kitaalamu kuliko hao wanaojiita wachambuziKatika uangaliaji wa mpira leo nimegundua kwamba yanga hatuwezi kumreplace mayele kirahisi lakini tunahitaji namba 9 mmaliziaji
Huwezi kufuta legency ya mayele kirahisi ivi Musonda anapenda kuchukua mipira pembeni mara nyingi Yao na Lomalisa walikua wakipiga cross lakini ziliokoloewa na mabeki wa azam kirahisi eneo la umaliziaji lilikua lipo wazi kabsa
Tukimsubiri musonda awe topscorer kwa uchezaji huu sidhani kama atatufikisha tunapohitaji
Labda kwa vile hatujamuona Konkoni tukipata finisher mzuri akabadili nafasi za wing back kuwa magoli tutafunga goli nyingi msimu huu
Max zengeli ni mchezaji mzuri sana lakini kwa nilivomuona anafiti kama namba 10 sio namba 7 maana kuna nafasi kama mbili au tatu kapata lakini mawazo yake ni kutoa pass sio kufunga mwalimu anahaja ya kuliona hilo pia
Ngushi ana kitu lakini anapresha ya kuperform kitamgharimu sana
Yao mtu sana uyu atatusaidia sana msimu huu ana kasi ya kupanda na kushuka na kupiga pass kwa mhusika kwa uhakika
Tukutane mtani usikimbie fainali
Mnapomjadili mtu ambae keshaondoka kwenye timu sijui mnakuwa na mawazo gani, Mayele keshaondoka atuwezi kuendelea kumjadili yanga anatumia rasilimali alizonazo na zitampa matokeo, kufupi unasubilia mkate chini ya muembe na yanga ndiyo imeanza ivyo kusonga mbele usitegemee kuishusha kwa mawazo yako uliyonayo kichwani mwako, kadri siku zinavyokwenda wenzako wanazidi kuwa na muunganiko thabiti ivyo basi endelea kujifariji na mbumbumbu wenzakoMuda bado sana watu kuanza kukuelewa.
Leo kila mtu kapiga yowe kwenye banda umiza huku wengine wakienda mbali kumzomea Feisali.
Hakuna aliyekumbuka nafasi ya Mayele wakati wanaongoza.
Hakuna aliyemtaja Nabi.
A time will come hayo majina yatatajwa n huyu Azizi Ki wa leo atasahaulika.
Kwani huyu Mzize si aliwahi kuitwa Haaland na kumbukumbu humu bado zipo?
Lakini ile Mechi ya second leg na Rivers kila mtu alimkataa.
Hivi viwango vya graph ambavyo havina consistency huwa vinakawaida ya kukupa temporary joy so msijisahau.
namba yupo ila leo hakacheza ni hafidh konkoniKatika uangaliaji wa mpira leo nimegundua kwamba yanga hatuwezi kumreplace mayele kirahisi lakini tunahitaji namba 9 mmaliziaji
Huwezi kufuta legency ya mayele kirahisi ivi Musonda anapenda kuchukua mipira pembeni mara nyingi Yao na Lomalisa walikua wakipiga cross lakini ziliokoloewa na mabeki wa azam kirahisi eneo la umaliziaji lilikua lipo wazi kabsa
Tukimsubiri musonda awe topscorer kwa uchezaji huu sidhani kama atatufikisha tunapohitaji
Labda kwa vile hatujamuona Konkoni tukipata finisher mzuri akabadili nafasi za wing back kuwa magoli tutafunga goli nyingi msimu huu
Max zengeli ni mchezaji mzuri sana lakini kwa nilivomuona anafiti kama namba 10 sio namba 7 maana kuna nafasi kama mbili au tatu kapata lakini mawazo yake ni kutoa pass sio kufunga mwalimu anahaja ya kuliona hilo pia
Ngushi ana kitu lakini anapresha ya kuperform kitamgharimu sana
Yao mtu sana uyu atatusaidia sana msimu huu ana kasi ya kupanda na kushuka na kupiga pass kwa mhusika kwa uhakika
Tukutane mtani usikimbie fainali
Kumjadili hakuwezi kuisha kutokana na legacy aliyoiacha.Mnapomjadili mtu ambae keshaondoka kwenye timu sijui mnakuwa na mawazo gani, Mayele keshaondoka atuwezi kuendelea kumjadili yanga anatumia rasilimali alizonazo na zitampa matokeo, kufupi unasubilia mkate chini ya muembe na yanga ndiyo imeanza ivyo kusonga mbele usitegemee kuishusha kwa mawazo yako uliyonayo kichwani mwako, kadri siku zinavyokwenda wenzako wanazidi kuwa na muunganiko thabiti ivyo basi endelea kujifariji na mbumbumbu wenzako
Mnapomjadili mtu ambae keshaondoka kwenye timu sijui mnakuwa na mawazo gani, Mayele keshaondoka atuwezi kuendelea kumjadili yanga anatumia rasilimali alizonazo na zitampa matokeo, kufupi unasubilia mkate chini ya muembe na yanga ndiyo imeanza ivyo kusonga mbele usitegemee kuishusha kwa mawazo yako uliyonayo kichwani mwako, kadri siku zinavyokwenda wenzako wanazidi kuwa na muunganiko thabiti ivyo basi endelea kujifariji na mbumbumbu wenzako
Nasi Tunawaonya Mapema, Huko Baadae Mkianza Kupoteana Msije Kusema Yanga Ananunua Mechi..Muda bado sana watu kuanza kukuelewa.
Leo kila mtu kapiga yowe kwenye banda umiza huku wengine wakienda mbali kumzomea Feisali.
Hakuna aliyekumbuka nafasi ya Mayele wakati wanaongoza.
Hakuna aliyemtaja Nabi.
A time will come hayo majina yatatajwa n huyu Azizi Ki wa leo atasahaulika.
Kwani huyu Mzize si aliwahi kuitwa Haaland na kumbukumbu humu bado zipo?
Lakini ile Mechi ya second leg na Rivers kila mtu alimkataa.
Hivi viwango vya graph ambavyo havina consistency huwa vinakawaida ya kukupa temporary joy so msijisahau.
Kwaiyo ulitaka yanga wasiendelee na mipango mingine bali wabaki kumuimba mayele tu? Mayele kaondoka na watakuja wengine waendelee alipoishia, kwani kabla ya mayele walipita washambuliaji wangapi wakali pale yanga? Je walipoondoka yanga ilikufa? Kabla ajaja yanga uyo mayele ulikuwa unamfahamu? Mambo mengine ayahitaji mjadala usiokuwa na kichwa wala miguu, Yanga alicheza FA akashinda bila mayele, Leo yanga kacheza ngao na kashinda bila mayele!! Unapataje nguvu ya kusema yanga bila mayele aiwezi kufanikiwa?Kumjadili hakuwezi kuisha kutokana na legacy aliyoiacha.
Kila mchezaji ambaye amefanya vizuri na kuondoka basi watu lazima wapime uwezo wa huyo mbadala anayecheza kwenye hiyo nafasi.
Sawa kama Yanga ndio imeanza kusonga mbele basi ni habari njema kwenu.
Ila ngoja muda utaongea
Naunga mkono hojaYote 9 Ila yule Yao watani mmepata mtu
Tuone kapombe new challenge hii
Kwaiyo yanga wabaki kufikiria legacy aliyoacha mayele? Yanga alicheza FA na akashinda bila mayele, leo kacheza ngao na kashinda bila uyo mayele unaemuota, Wachezaji wengine wamesajiliwa na maisha yanaendelea uyo namba 9 unaemsema yupo keshasajiliwa but uwezi kukurupuka tu unampanga kwenye timu wakati alichelewa kujiunga na wenzake kupata maandalizi ya pamojaHujui mpira mzee mtu kuacha legency sio kwamba utamsahau
Na haikuzuii wewe kuendelea na maisha mengine lakini waliopo wanabidi waendeleze mwenzao alichokiacha hata kama sio kwa aslimia mia lakini pengo lake halionekani ndio maana usajili unafanyika mahali popote kuziba magap ya wachezaji wao muhimu wanao ondoka
Usitake kulazimisha unachokiamini wewe ndio kiwe sahihi baki na mtazamo wako
Umevurugwa hadi umejirithisha unajimu wa sheikh yahya,unawaza negative tu kwa upande wa Yanga 😀Muda bado sana watu kuanza kukuelewa.
Leo kila mtu kapiga yowe kwenye banda umiza huku wengine wakienda mbali kumzomea Feisali.
Hakuna aliyekumbuka nafasi ya Mayele wakati wanaongoza.
Hakuna aliyemtaja Nabi.
A time will come hayo majina yatatajwa n huyu Azizi Ki wa leo atasahaulika.
Kwani huyu Mzize si aliwahi kuitwa Haaland na kumbukumbu humu bado zipo?
Lakini ile Mechi ya second leg na Rivers kila mtu alimkataa.
Hivi viwango vya graph ambavyo havina consistency huwa vinakawaida ya kukupa temporary joy so msijisahau.
Kwaiyo yanga wabaki kufikiria legacy aliyoacha mayele? Yanga alicheza FA na akashinda bila mayele, leo kacheza ngao na kashinda bila uyo mayele unaemuota, Wachezaji wengine wamesajiliwa na maisha yanaendelea uyo namba 9 unaemsema yupo keshasajiliwa but uwezi kukurupuka tu unampanga kwenye timu wakati alichelewa kujiunga na wenzake kupata maandalizi ya pamoja