Kichwa cha habari kinavutia Kwa rangi iliyokolea lakini katikati ya mistari kumejaa unafiki na uzandiki. Usijaribu kabisa kulinunua hata kama limeandika nini!
Mpuuzi mwenzio ndio kalianzisha dude Sisi tunamalizia Tu. Mara analinganisha mishahara, mara magari ya makocha na wachezaji. Mbona mwaka juzi na jana hakufanya hivyo? Ni wapuuzi na malimbukeni. Hatununui upuuzi