R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,272 Reaction score 24,123 Sep 2, 2021 #41 hii Habari ingekuwa inaihusu simba ungesikia matakataka yao yakiongozwa na kitenge yanavyoangaika kuwatafuta viongozi wa simba na kuwauliza maswali ila kwa sababu inahusu timu yao yapo kimya
hii Habari ingekuwa inaihusu simba ungesikia matakataka yao yakiongozwa na kitenge yanavyoangaika kuwatafuta viongozi wa simba na kuwauliza maswali ila kwa sababu inahusu timu yao yapo kimya
ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 4,631 Reaction score 14,237 Sep 2, 2021 #42 Ambition plus said: Mkuu hujufurahishwa na kuondoka kwa Antonio? Click to expand... Mm ni Simb ila antonio aliku mwana yanga Yanga damu mpk chozi linamtoka leo wamemchukua msukule dah inauma sana.
Ambition plus said: Mkuu hujufurahishwa na kuondoka kwa Antonio? Click to expand... Mm ni Simb ila antonio aliku mwana yanga Yanga damu mpk chozi linamtoka leo wamemchukua msukule dah inauma sana.