Siku zote mtu maskini humtakia mabaya mtu tajiri,
Hii ni sawa kwa mchangani fc (simba) wanavyokesha kila leo kuiombea timu ya kimataifa yanga afrika ifanye vibaya.
ndo kilichobak hamna cha kusema sasa,mmefulia mbaya mnabak kujifarij kuwa mnahongwa,hata urafik wenu ushaingia mashaka maana mng'ang'ania nafasi moja wakat ninyi kulwa na doto
Yanga ni lazima afanye hivyo kwa sababu kama timu kubwa na mwakilishi wa taifa kwenye mechi kubwa za kimataifa na balozi pekee wa nchi kimataifa kwenye michezo ana mambo mengi na makubwa ya kushughulikia kuliko hii ligi nyepesi.