Mshika mawili moja humponyoka na wakati mwingine hukosa vyote.Zahera anataka vyote,vya Yanga na vya timu ya taifa. Yanga wanamechi ngumu na muhimu wiki moja ijayo na huu ndo ulikua muda muafaka wa kocha kuandaa timu yake lakini hayupo ameacha program. Aliacha program wakati yupo Afcon wala haikusaidia chochote amerudia tena kuacha programe mbayo anamuachia kocha wa viungo. Zahera ni mtaalamu wa Saikolojia,anajua sn kucheza na akili za mashabiki ampaka wanamuani hata kwa jambo ambalo haliwezekani. Ukweli ni kwamba Yanga kuna shida kubwa ya msingi. Siioni Yanga ikifurukuta mbele ya Pyramid. Maono Yangu yanaonyesha Yanga ikipigwa nje ndani ushindi wa Mwanza unaweza kuwa sare tasa.

Kuna timu ilikuwa South Africa kwenye preseason wakati Yanga wakisemekana wanakula matikikiti huko Morogoro.Mshika mawili moja humponyoka na wakati mwingine hukosa vyote.Zahera anataka vyote,vya Yanga na vya timu ya taifa. Yanga wanamechi ngumu na muhimu wiki moja ijayo na huu ndo ulikua muda muafaka wa kocha kuandaa timu yake lakini hayupo ameacha program. Aliacha program wakati yupo Afcon wala haikusaidia chochote amerudia tena kuacha programe mbayo anamuachia kocha wa viungo. Zahera ni mtaalamu wa Saikolojia,anajua sn kucheza na akili za mashabiki ampaka wanamuani hata kwa jambo ambalo haliwezekani. Ukweli ni kwamba Yanga kuna shida kubwa ya msingi. Siioni Yanga ikifurukuta mbele ya Pyramid. Maono Yangu yanaonyesha Yanga ikipigwa nje ndani ushindi wa Mwanza unaweza kuwa sare tasa.
Huwa wanaweweseka sana hawa jamaa.Mkuu relax, kama Simba walitolewa na US Dong ajabu iko wapi Yanga kutolewa na Pyramid? au kocha wa Simba na yeye aliacha program ya mazoezi?
ππππYa Zahera yanakuhusu nini wewe kila siku Zaherazahera?Kambi ya south Africa ilileta matokeo hasi au chanya?
Acha ukilaza mwamba mpira sio uadui kila siku kuzusha mambo ya kifala ksa Yanga na Zahera.Kama una jambo la maana litoe kwa staha kwa kujenga hoja sio vioja na kejeki.Unaweza iponda Yanga sawa.msimu ukaisha mkawa simba ndo mabingwa mkatolewa hatua ya awali tena na Yanga ikasogea mbele tena.
Hadi mwakani wakianza kushiriki tenaTutazidi kuirudia hili neno kila leo.
U M B U M B U
Hakika Mkuu.Hadi mwakani wakianza kushiriki tena
Wamesajili Wahindi wa kucheza na Mashujaa πππHakika Mkuu.
Na mwakani si ajabu wakaanguka tena pia.
halafu wanalalamika Simba kuwa nafasi ya 16 kwa ubora AfricaRekodi ya YangaView attachment 1233763