Eti Simba inajiendesha kiuweledi, we jamaa jitahidi kuwa unaficha ujinga wako saa nyingine unaiaibisha familia yako, timu inayojiendesha kiuweledi inaajili kocha asie na vyeti, timu inayojiendesha kiuweledi inasajili mchezaji mwenye mkataba na timu nyingine, we jamaa umeshiba makande yako uko unakuja kutuletea habari za ujinga ujinga wako apa au umetumwa na marafiki wa mo, Kama yanga wanafanya propaganda wewe kinachokuwasha ni kitu gani Kama ni kuharibikiwa si wanahaaribikiwa wao bwana wewe kiherehere cha nini, tokea lini makoro fc akawa mshauri mzuri wa yanga, ujaombwa ata mia kichangia izo propaganda utakuja kuchumbiwa wewe siku moja Kama utaendeleza tabia zako za kikeKusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni.
Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda.
Badala ya kutumia fedha nyingi kwa hawa wachambuzi kuwasifia GSM wajikite kwenye kuweka mambo sawa kwenye uongozi.
Sasa hivi Yanga haina kiongozi mkuu yani vurugu tupu.
Senzo anaongea, Haji Mfikirwa anaongea, Bumbuli anaongea, Msukule unaongea kule Profesa Nabi anaongea.
Msolwa anaongea pembeni yani ni vurugu tupu. Utopolo Administration
Hebu rudini nyuma na muweke mambo sawa ya kiutawala ama sivyo itakua ngumu kupambana na hii Simba ambayo inajiendesha kisasa na kiuweledi.
Badilikeni mapema
Uwachane ndiyo Kiswahili gani na cha wapi hiki? Watanzania bhana...!!Kusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni.
Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda.
Badala ya kutumia fedha nyingi kwa hawa wachambuzi kuwasifia GSM wajikite kwenye kuweka mambo sawa kwenye uongozi.
Sasa hivi Yanga haina kiongozi mkuu yani vurugu tupu.
Senzo anaongea, Haji Mfikirwa anaongea, Bumbuli anaongea, Msukule unaongea kule Profesa Nabi anaongea.
Msolwa anaongea pembeni yani ni vurugu tupu. Utopolo Administration
Hebu rudini nyuma na muweke mambo sawa ya kiutawala ama sivyo itakua ngumu kupambana na hii Simba ambayo inajiendesha kisasa na kiuweledi.
Badilikeni mapema
Utopolo wanatumiwa kibiashara bila wao kujua ,Kusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni.
Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda.
Badala ya kutumia fedha nyingi kwa hawa wachambuzi kuwasifia GSM wajikite kwenye kuweka mambo sawa kwenye uongozi.
Sasa hivi Yanga haina kiongozi mkuu yani vurugu tupu.
Senzo anaongea, Haji Mfikirwa anaongea, Bumbuli anaongea, Msukule unaongea kule Profesa Nabi anaongea.
Msolwa anaongea pembeni yani ni vurugu tupu. Utopolo Administration
Hebu rudini nyuma na muweke mambo sawa ya kiutawala ama sivyo itakua ngumu kupambana na hii Simba ambayo inajiendesha kisasa na kiuweledi.
Badilikeni mapema
Hujawahi kusoma tamathali za semi Mzee!? Ujuaji mwingi mbele kiza. Jifundishe kiswahili Mzee.Uwachane ndiyo Kiswahili gani na cha wapi hiki? Watanzania bhana...!!
Swine hakuna neno la Uwachane katika Kiswahili Sanifu bali kuna neno sahihi la Uachane tu. Huna Akili kabisa!!Hujawahi kusoma tamathali za semi Mzee!? Ujuaji mwingi mbele kiza. Jifundishe kiswahili Mzee.
Yanga na propaganda uchwara ni kama mavi na nziKusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni.
Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda.
Badala ya kutumia fedha nyingi kwa hawa wachambuzi kuwasifia GSM wajikite kwenye kuweka mambo sawa kwenye uongozi.
Sasa hivi Yanga haina kiongozi mkuu yani vurugu tupu.
Senzo anaongea, Haji Mfikirwa anaongea, Bumbuli anaongea, Msukule unaongea kule Profesa Nabi anaongea.
Msolwa anaongea pembeni yani ni vurugu tupu. Utopolo Administration
Hebu rudini nyuma na muweke mambo sawa ya kiutawala ama sivyo itakua ngumu kupambana na hii Simba ambayo inajiendesha kisasa na kiuweledi.
Badilikeni mapema
Achana story za kwenye vijiwe vya kahawa wewe! ni kocha yupi hana vyeti? kocha aliyesemwa Simba SC sio kama hana vyeti bali vyeti alivyonavyo havijakidhi matakwa ya mashindano ya CAF CL and for your information mechi ya kwanza ya champions league ambayo simba anaenda kucheza Gomez atakuepo kwenye benchi la ufundiEti Simba inajiendesha kiuweledi, we jamaa jitahidi kuwa unaficha ujinga wako saa nyingine unaiaibisha familia yako, timu inayojiendesha kiuweledi inaajili kocha asie na vyeti, timu inayojiendesha kiuweledi inasajili mchezaji mwenye mkataba na timu nyingine, we jamaa umeshiba makande yako uko unakuja kutuletea habari za ujinga ujinga wako apa au umetumwa na marafiki wa mo, Kama yanga wanafanya propaganda wewe kinachokuwasha ni kitu gani Kama ni kuharibikiwa si wanahaaribikiwa wao bwana wewe kiherehere cha nini, tokea lini makoro fc akawa mshauri mzuri wa yanga, ujaombwa ata mia kichangia izo propaganda utakuja kuchumbiwa wewe siku moja Kama utaendeleza tabia zako za kike
Sasa Mzee hiyo swine maana yake ni nini!? Usilete ujuaji wa kipumbavuSwine hakuna neno la Uwachane katika Kiswahili Sanifu bali kuna neno sahihi la Uachane tu. Huna Akili kabisa!!
Bhana!Uwachane ndiyo Kiswahili gani na cha wapi hiki? Watanzania bhana...!!