Igwe Kingdom
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 324
- 603
Tangu lini ukawa semaji kuu la Utopolo TZ?Kivumbi na Jasho lakin wapii, wale warabu nasikia walipokuja kwa mkapa walivaa viatu vyenye mfumo wa Four wheel drive 4×4,ndo maana walikua hawaanguki na ile mvua yote.
ile kiatu unaweza cheza hadi kwenye majaruba ya mpunga kule misungwi
Jamani hawa watu watatua aisee ingewezekana hilo kombe walichukue kuliko kuharbu gharama zetu... hzo medani za kushiriki watutumie kwenye basi.
Wanayanga tunawaza tuanze kubana pumbu zetu kuanzia sasa lakin si zitakua nyekundu mwishowe zikatike?
Aziza Shayo apigwe homa kali asiende kule huyu tulipigwa usiku wa manane tuliuziwa kitimoto badala ya mbuzi.
Mwiko nyuma mbele kwa mbele Daima.
YANGA AFRICA.
Endelea kuota USM Algiers sio MarumoYanga vs Al Hilal
Maneno ya waachao Mbuzi na mashabiki wa roborobo fc a.k a wakosa kombe, wakaongea maneno mengi mara ooho Yanga mtapigwa nyingi mara ooho Ibenge hatari lakini mwisho wa siku Yanga kafungwa goli moja huku Ibenge akipaki treni na kukubali kuwa mnyonge
Mechi ya Yanga na Club Africain. Vile vile mayaongea mengi sana kuwa kwa mpira waliocheza club Africain kwa Mkapa basi kule mtayaoga mengi lakini mwisho wa siku wametolewa kule kule kwake. Yaliongelewa vs timu nyingi ikiwemo Marumo, Rivers n.k lakini wakapigiwa huko huko kwao na record zao zikavujwa. Bado tu hamjajifunza kuongea kwa akiba? Huu ni mpira atakayejipanga vizuri atapata matokeo haijalishi unacheza wapi. Hivyo chochote kinaweza tokea siku hiyo.
Semaji la JiefuTangu lini ukawq semaji kuu la Utopolo TZ?
Utumieni vizuri huu mda! Timu lenu bovu wala hamuna mda nalo mmekomaa na Yanga mwisho wa msimu mnarudi kule kuleKivumbi na Jasho lakin wapii, wale warabu nasikia walipokuja kwa mkapa walivaa viatu vyenye mfumo wa Four wheel drive 4×4,ndo maana walikua hawaanguki na ile mvua yote.
ile kiatu unaweza cheza hadi kwenye majaruba ya mpunga kule misungwi
Jamani hawa watu watatua aisee ingewezekana hilo kombe walichukue kuliko kuharbu gharama zetu... hzo medani za kushiriki watutumie kwenye basi.
Wanayanga tunawaza tuanze kubana pumbu zetu kuanzia sasa lakin si zitakua nyekundu mwishowe zikatike?
Aziza Shayo apigwe homa kali asiende kule huyu tulipigwa usiku wa manane tuliuziwa kitimoto badala ya mbuzi.
Mwiko nyuma mbele kwa mbele Daima.
YANGA AFRICA.
USM atakuaje Marumo wewe mbumbumbu?Endelea kuota USM Algiers sio Marumo
Wale mpira wanaujua mlikuwa mnakutana na vibonde
Nyuma mwiko mkeka lazima tupindue.Utumieni vizuri huu mda! Timu lenu bovu wala hamuna mda nalo mmekomaa na Yanga mwisho wa msimu mnarudi kule kule
nikimaanisha Marumo ni vibonde tuUSM atakuaje Marumo wewe mbumbumbu?
Ngoja nikumbushe kituYanga vs Al Hilal
Maneno ya waachao Mbuzi na mashabiki wa roborobo fc a.k a wakosa kombe, wakaongea maneno mengi mara ooho Yanga mtapigwa nyingi mara ooho Ibenge hatari lakini mwisho wa siku Yanga kafungwa goli moja huku Ibenge akipaki treni na kukubali kuwa mnyonge
Mechi ya Yanga na Club Africain. Vile vile mayaongea mengi sana kuwa kwa mpira waliocheza club Africain kwa Mkapa basi kule mtayaoga mengi lakini mwisho wa siku wametolewa kule kule kwake. Yaliongelewa vs timu nyingi ikiwemo Marumo, Rivers n.k lakini wakapigiwa huko huko kwao na record zao zikavujwa. Bado tu hamjajifunza kuongea kwa akiba? Huu ni mpira atakayejipanga vizuri atapata matokeo haijalishi unacheza wapi. Hivyo chochote kinaweza tokea siku hiyo.
Kwani sisi tukikomaa na nyie ndio kusema tunawazuia mshindwe kuwafunga wapinzani wenu?Utumieni vizuri huu mda! Timu lenu bovu wala hamuna mda nalo mmekomaa na Yanga mwisho wa msimu mnarudi kule kule
Ndo maana profesa wetu Nabi alisema hatukujipanga vyema issue yote ilikua kwenye kiatu ....kiatu gani haitelezi aiseeVile viatu vinaitwa Mult ground boots Kiangazi twende,kwenye tope twende balaa lake ni noma, Yanga na uwanja wao wakabaki wanashangaa tu
Angalia usipigwe ngumi ,wanayanga tuna jaziba na tumepanic ...hatujui tufanye kipi na tuache kipi.Ngoja nikumbushe kitu
Mechi yenu na Club Africain hapa kwa Mkapa mliyotia sare mkatoa sio wachambuzi waliokuwa wakwanza kusema hamtoboi kwenye 2nd leg.
Mashabiki nyinyi ndio mliokuwa wakwanza kukata tamaa, na wengine mlikuwa cowards hamkutaka hata kusema chochote kama ambavyo saizi wengine wamekaa kimya
View attachment 2641815
Kwenye ishu ya Al Hilal hapo umeandika as if mlifika malengo yenu.
Kuweka kumbukumbu sawa mechi ya Wydad na Simba ilitokea scenario kama yenu kwenye mechi dhidi ya Al Hilal
Kila mtu alisema Simba atafungwa bao nyingi na wewe sio kama hukuwaona humu, kuna huyu Dr Matola PhD aliwahi kutoa post ikionesha Simba itapigwa 8-0 kuke Morroco
Tulimuangalia kama mshabiki tu mwenye wa Gongowazi ambaye anaweza kusema chochote tu ili kuipa furaha nafsi yake
Pia kuna wachambuzi wengi walitabiri kipigo cha magoli mengi kwa Simba nao hatukuwaona kama haters kama nyinyi mnavyojiliza liza na kujiona kama mnawengwa.
Siku wanayotoa draw za robo viongozi wenu walivyoona tuneoangwa na Wydad walianza kufurahi na kutudhihaki kuwa tumeishia hapo tena kwa kipigo kikubwa
Leo hii mnataka mseme nini kuhusu watu kuacha kushabikia timu pinzani na nyie?
Leo hii mnataka kuzuia nini au tuonekane hater kwa kupita njia zile ambazo nyinyi mmekuwa mnapita na hatuwasemi chochote?