Acha uzwazwa wewe...Yanga miaka yote hiyo inachukua ubingwa kuliko timu zote wananunua mechi?LABDA tigo pesa ziwe NETWORK MBOVU.,,,YANGA kushinda ni lazima,,,,YANGA mechi NGUMU ni ya MNYAMA TU,,,na ugumu wake ni kwamba HAINUNULIKI....nyingine zote,,,itategemea na NETWORK ZA MIAMALA YA SIMU,,
Weka dau la nyumba kwa nyumba aka bet.Habari wana'Sport
Leo tarehe 11.4.2018 Klabu ya Singida utd kutoka Singida watakuwa Wageni wa YANGA pale Dar.
Wakiwa na rekodi ya kuwatoa Yanga kwenye kombe la FA .. Singida utd mchezo wa kwanza wa Ligi kuu walitoa droo na Yanga Kule kwao...
Sasa Leo nations Yanga ikifa mbele ya Singida ambao wametoka kupoteza mechi ya Mtibwa sugar kwa kulala 3 - 0 tena Nyumbani.. Leo hawatakubali hawa jamaa kupigwa tena ikiwa Wanaimudu vyema Yanga hata ukiangalia Michezo waliyokutana na Jangwani utapata majibu mazuri.
Sasa basi Ikiwa Yanga anapoteza mechi ya Leo au Akapata droo turn basi Hii itakuwa ni Safari ya Ubingwa kwa Sumba ambayo watakuwa sawa Michezo ila Simba atakuwa mbele POINT 5 au 6.
Singida wapo vizuri wana watu kama DEUS KASEKE Ambae anawajua Yanga hadi Uvunguni akiwa alicheza kwao msimu uliopita... Kuna jamaa anaitwa KUTINYU Jamaa ni mvurugaji sana wa Mabeki ... Angalia kiungo cha MUDATHIR YAHYA na KENY ALLY MWAMBUNGU...
Wana watu wabishi na wenye Uwezo kama BATAMBUZE, LUSHESHANGOGA n.k
Kwa sisi wanaSimba droo Tu Itatutosha sana kuelekea Kubeba Ubingwa.
Sio Mimi ndio nasema Ila Hesabu Zimegoma wana Yanga Tuvumiliane Tu Jamani.
Nipo
Singida kwa Mkopo
kwani kuna kitu kitakacho wazuia kununua mechi miaka yote?kununua mechi si kama kununua changudoa tu hakuna ahad wala mtongozo unatoa hela unapata huduma hapo hapo hainaga maandalizi!Acha uzwazwa wewe...Yanga miaka yote hiyo inachukua ubingwa kuliko timu zote wananunua mechi?
Pimbi wewe unaye comment kitu hukijuwi,,,safari hii mnyama keshajuwa MBINU zenu,,sasa ni JINO KWA JINO,,,,tunajuwa kama MIAMALA ndy zenu,,haswa zikibaki mechi kumi za mwisho,, NOT THIS TIME,,,may be later,,, ubingwa sahau,,,na dalili zote zishaonekana hadi kupelekea KOCHA WENU MWANAMWALI kukimbilia ZESCOAcha uzwazwa wewe...Yanga miaka yote hiyo inachukua ubingwa kuliko timu zote wananunua mechi?
Walinunua points tatu za simba wakawauzia Kagera sukari mwaka janaAcha uzwazwa wewe...Yanga miaka yote hiyo inachukua ubingwa kuliko timu zote wananunua mechi?
Jibu hoja kijana acha matusi....hunijui sikujui.Mpira wenyewe uneanza kuujua juzi baada ya kutoka tongo tongo.Pimbi wewe unaye comment kitu hukijuwi,,,safari hii mnyama keshajuwa MBINU zenu,,sasa ni JINO KWA JINO,,,,tunajuwa kama MIAMALA ndy zenu,,haswa zikibaki mechi kumi za mwisho,, NOT THIS TIME,,,may be later,,, ubingwa sahau,,,na dalili zote zishaonekana hadi kupelekea KOCHA WENU MWANAMWALI kukimbilia ZESCO
HUU NDIYO UKWELI KUHUSU KLABU GANI NI BORA TANZANIA KWA MUJIBU WA CAF
2 hrs ago
Kulingana na takwimu zilizotolewa na shirikisho la mpira barani Africa baada ya mechi zilizochezwa mwezi marchi 2018, hii ndiyo orodha ya vilabu bora Tanzania ambapo ni timu tatu tu zimeingia kwenye orodha hiyo kutoka Tanzania;
Kwenyue orodha hiyo nafasi ya kwanza mpaka ya tano ni kama ifuatavyo;
1. Al Ahly-Misri
2. Esperance de Tunis-Tunisia
3. TP Mazembe-CongO DR
4. Etoile du Sahel-Tunisia
5. El Merreikh-Sudan
Nafasi ya mwisho ya 482 inashikiliwa na klabu ya National Assembly ya Zambia.
Orodha ya viwango.
nyie zunguka tu
Usizungumzie habari ya KUUJUWA MPIRA,,mm ni FUNDI WA MPIRA wakati wngu,, sikuupa KIPAUMBELE SN,sababu ulikuwa HAULIPI,,,pia nafuatilia MPIRA tangu SIMBA ya akina MRAGE WA KABANGE,,,ZAMOYONI MOGELA,,,NICO NJOHOLE,,,MOSES MKANDAWILE,,,,ZUBERI MAGOHA,RAMADHANI LENNY,,,,naijuwa hyo YANGA tangia akina JUMA MKAMBI,,,HAMIS KINYE,,AMASHA,,,EDGAR FONGO,,,MZIBA,,,ATHUMANI JUMA CHAMA JOGOO,,nk...labda nikuulize kitu,,,NENO UZWAZWA kwenu ni SIFA au MATUSI?na kama ni sifa,,,, ULINIITA MM ZWAZWA kwa lengo gani?kama hupendi matusi,,,na wewe wacha matusi,,sawa PIMBI?Jibu hoja kijana acha matusi....hunijui sikujui.Mpira wenyewe uneanza kuujua juzi baada ya kutoka tongo tongo.
Mikia mlisema yanga hana hata hela ya mishahara ya wachezaji, how come nw anunue mechi au mlunguka unamkopo ?Pimbi wewe unaye comment kitu hukijuwi,,,safari hii mnyama keshajuwa MBINU zenu,,sasa ni JINO KWA JINO,,,,tunajuwa kama MIAMALA ndy zenu,,haswa zikibaki mechi kumi za mwisho,, NOT THIS TIME,,,may be later,,, ubingwa sahau,,,na dalili zote zishaonekana hadi kupelekea KOCHA WENU MWANAMWALI kukimbilia ZESCO
Usajili wa Msuva kwenda Morocco umewabeba sana watani.Mikia mlisema yanga hana hata hela ya mishahara ya wachezaji, how come nw anunue mechi au mlunguka unamkopo ?
Kwani hujawahi kuona MTU ANALALA NJAA ,,,PESA ANAMLIPA MGANGA?suala LA kununua mechi ni wachezaji 4 au 3 tu,,,tena hata 2 millions haifiki,,,mchezaji wa timu kama mbao,,mbeya city,, analipwa 200000 kwa mwezi,,,na pengine anadai mshahara wa miezi 4 hivi laki sita haitoshi kuuza mechi kwl?kuuza mechi ni KU DEAL NA 4 PLAYERS TU,,,GOALKEEPER,,, Mabeki wa KATI,,na STRIKER asifunge goli....hata kama wengine wacheze vipi....huko hakuna goli,,,na huku kwa goalkeeper UKIPIGA KATI GOLI,,,, kama huamini UTANAMBIYA,,,YANGA hafungwi,,,labda network ZA SIMU ZIWE MBOVU,,,maana HALF TIME ndy INAFUNGWA BIASHARA,,,baada ya SMS received...Mikia mlisema yanga hana hata hela ya mishahara ya wachezaji, how come nw anunue mechi au mlunguka unamkopo ?