yanga imetolewa rasmi kwenye michuano ya kimataifa baada ya kuchapwa penati 4 kwa 3 dhidi ya Alhaly. walifikia penati mara baada ya alhaly kuifunga yanga goli 1 katika muda wa dakika 90. hivyo yanga kukosa penati mbili wakati alhaly wamekosa penalt moja. yanga chaliiiiii hapa uzalendo hamna uzalendo ni timu ya taifa tu bila shaka simba kidedea maana tusingeongea mwezi mzima