Japo tumeshinda na hapa natoa pongezi kwa wote, wachezaji, makocha na viongozi lakini ukweli ni kwamba yanga bado sana, ama hatuna wachezaji wa kutufikisha fainali au mbinu zetu ni za kizamani
japo tumeshinda,na hapa natoa pongezi kwa wote,wachezaji, makocha,na viongozi lakini ukweli ni kwamba yanga bado sana,ama hatuna wachezaji wa kutufikisha fainali au mbinu zetu ni za kizamani
una elimu na ujuzi juu ya masuala gani kwanza..?? isijekuwa una ujuzi wa kilimo,halafu unazungumza kuhusu mpira... wewe endelea kuwa shabiki tu, uchambuzi waachie wengine
Japo tumeshinda na hapa natoa pongezi kwa wote, wachezaji, makocha na viongozi lakini ukweli ni kwamba yanga bado sana, ama hatuna wachezaji wa kutufikisha fainali au mbinu zetu ni za kizamani
Timu ambazo ni tia maji tia maji zishatolewa na zimebaki zinazojiweza ndio maana pumba zote zinapanda toyo kesho kwenda Lindi kufukuzia nafasi ya pili kwenye ligi
defence line ya yanga ndio timu pekee iliyozuia na kufungwa magoli machache mpaka leo kweny michuano ya kimataifa na kweny ligi.
Winga ya yanga ambayo tukimzungumzia jesus moloko amesaidia ushindi kwa asilimia kubwa mpaka leo hata mechi ya Nigeria ameisaidia vya kutosha upatikanaji wa goal la mayele.
Unapima uwezo wa timu kwa mechi ambayo Yanga alishamaliza game tangu Nigeria