vitatu tu....Imepigwa ngapi?
Kuna kipindi serikali ilivitaka vilabu, miaka ya nyuma, vibadili majina yao toka Kiingereza na kuyatafutia Kiswahili ndio maana Simba ikabadilishwa toka Sunderland.Nafikiri ni muda muafaka sasa timu yetu pendwa ya Young Africans ibadili jina ili isizidi kuonewa barani Afrika, jina Young Africans halina tofauti sana na toto afrika,so Yanga wanaonekana kama madogo flani hivi barani humu,napendekeza wajiite Adult Africans ili watishe kinomanoma.
Yanga ni club ya soka ndio maana kuna wachezaji wa kigeni kama unaenda Taifa hakuna wimbo wa Taifa unapigwa...ongeleeni Taifa stars ndio inavaa bendera zenye rangi za TaifaFrom kimataifa to kiama cha taifa!