Yanayotokea Gambia yamenifanya nikumbuke Tuzo ya Jecha kwa kurudia uchaguzi Zanzibar

Demokrasia ya Afrika ni chama tawala kushinda kwa namna yoyote.Wapo madarakani kulinda maslahi yao na waliowatangulia.Kwani wanafanya kila wamalizapo muda wanaweka watu wao.
 
Kilichotoeko Gambia ccm waeungwa mkono kwa kilichotokea Zanzibar mwaka Jana. cha kushangaza endapo machafuko yakitokea huko Gambia msuruhishi mkuu atatokea Tanzania.

poor Afrika!!!
 
Ooohh Trump kwa nini unachelewa kuapishwa,Hawa ni wa kukamatwa na kupigwa tu,haiwezekani mtu mmoja kwa interest zako uje usababishe mauwaji ya halaiki,ilitakiwa watu waanze na huyu Uchwara
 
i am sorry to say, wazungu ni wajasiri sana unawaoona wanaoa au kuolewa na kuzaa na black african hasa walioko bara la africa, i am sure kuna wazungu wenzao hawaafiki hii kitu kabisa...
 
Nashauri kuwa akitoka kiongozi akangangania madaraka ni kutafuta ziliko investment zake zote wakiwepo mke na watoto na kizichoma zote. Baada ya hapo unawatafuta wajomba, ndugu zake na wapambe unawatokomeza wote ili kukiondoa kile kizazi cha tamaa!
 
Huyu jamaa amenishangaza sana...kama AU ingekua ina maana ilitakiwa aondolewe kwa Nguvu na Rais mpya aapishwe mtu hawezi kungangania madaraka wakati watu hawamtaki...Ajabu AU ni imejaa uhuni na usanii haina kitu...
U is a toothless dog that cannot bite kwa hivyo kuitegemea ni kama kupiga ramli.
 
Wanao dharau sauti ya Mungu hakika kitakacho wafika ni aibu tupu
 
huyu ameenda mbali zaidi, yaani Anakofia Mbili.

1 kuwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.

2 kuwa mgombea wa nafasi ya Urais.

3 kuwa Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Gambia.

Haaaaaaaaaaaaaaaa. Africaaaaaaaaaaaa Kuna maajubu ya Dunia kabisaaaaaaaaaaaaaa.

Hapa hata Trump Akitutukana basi Atuna budi kumuunga Mkono maana ndivyotulivyo.
 
Huyu jamaa amenishangaza sana...kama AU ingekua ina maana ilitakiwa aondolewe kwa Nguvu na Rais mpya aapishwe mtu hawezi kungangania madaraka wakati watu hawamtaki...Ajabu AU ni imejaa uhuni na usanii haina kitu...
SWALI:
panya Anaweza kumfunga panya mwenzake mikono asipure Unga?
 
KWENYE HILI HUTAWASIKIA WAKUU WA NCHI HII WASEME LOLOTE!!!
 
Kwanza nilishikwa na butwaa na kumuona kidume kukubali kushindwa. Inaweza kuwa alikuwa na zamira ya kweli,baada ya kutafakari, akaogopa kuwa anaweza kulipiziwa visasi na kuzalilishwa. Dalili zilikuwa zinaonyesha, kuwachiwa kwa wafungwa wa kisiasa haraka, watu pamoja na mahasimu wake kuongea kwa lugha za jazba za kutaka haki itendeke. Nafikiri nchi nyingi za kiafrica kutokana historia zake zinahitaji "reconciliation" kama ile wliofanya South Africa na Tunisia. Hii hata hapa kwetu, hasa kwa upande wa Zanzibar inahitajika. Bila mipango kama hiyo haya matatizo kwenye chaguzi zetu Africa, pamoja na vita yatakuwa yanaendelea bila suluhu.
 
Huyu jamaa amenishangaza sana...kama AU ingekua ina maana ilitakiwa aondolewe kwa Nguvu na Rais mpya aapishwe mtu hawezi kungangania madaraka wakati watu hawamtaki...Ajabu AU ni imejaa uhuni na usanii haina kitu...
porojo zako zooote, avatar yako umeweka picha ya gadaf.
 
Kuna wakati HayatiJohn Garang alisema bunduki inasaidia kuweka mambo sawa.
 
Yeye sio ndio alipiga simu ya kupongeza? Alikuwa anatabasam kinafiki
 
Ndiyo sababu nikakosa uvumilivu na kuzamia South kwenye nchi ya Wazungu walioko barani Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…