Wadau,
Baada ya kuwawakilisha vema siku ya jana tarehe 7.3.2014, leo tutaendelea kuwajuza yatakayojiri Dodoma kwenye semina ya Bunge Maalum. Kazi kubwa ya leo ni upitishwaji wa vile vifungu vya Rasimu ya Kanuni kuanzia cha 32 hadi 43 ambavyo vilitakiwa vipitishwe jana lakini ikashindikana. Mtakumbuka kuwa kabla Mwenyekiti hajaahirisha Semina ya jana, alitangaza Kamati maalum ya maridhiano ambayo iliketi jana kuanzia saa 9 alasiri kutafuta namna nzuri ya kupitisha vifungu hivyo.
Aidha, makundi maalum yanayounda Bunge Maalum yalikutana kuanzia saa 12 jioni ili kupata taarifa juu ya yale yaliyoafikiwa na Kamati ya Maridhiano. Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa siku ya leo hoja kutoka kwenye floor hazitakuwa nyingi na kali kwa vile vipengele hivyo vitapitishwa kimaridhiano.
As usual, nitakuwa sambamba na Simiyu Yetu kuwahabarisha wana JF. JF itakuwa ya kwanza daima na wengine watafuatia. Pamoja sana.
Stay Connected.
===========================================================================
UPDATES 1
Semina imeahirishwa hadi saa 9 Alasiri. Sababu ya kuahirishwa ni kuwa maridhiano yalikuwa hayajapatikana kuhusuvifungu vya 32 hadi 43. Kipengele kinachovuta hisia za wabunge wengi ni kifungu cha 37 na 38 juu ya ufanywaji wa maamuzi. Hata hivyo kuna dalili muafaka ukapatikana katika kipengele hicho hasa baada ya baadhi ya wabunge waliokuwa wanapinga Kura ya Siri kulegeza msimamo Wao.
Kuanzia saa tano ile Kamati ya Maridhiano ambayo iliundwa kushughulikia muafaka wa vifungu hivyo itaendelea na kikao chake.
Mkuu, kama umemwelea vizuri CHABRUMA, ni kwamba wanaopinga kura ya siri na kupenda ya wazi wameamza kwenda kinyume na misimamo yao. Hii ni kusema kuwa wanaweza kuunga mkono kura ya siri kwa lengo tu la maridhiano na kuruhusu mchakato uendelee. Vinginevyo, mchakato wa Bunge Maalum utakuwa umekwama. Nawapongeza sana wale waliokubali kushindwa kwa lengo la kuleta maridhianoKwa nini isiwe nyie mnaoipenda ya wazi mlegeze kamba?Kwa nini hamtaki kura ya siri?Kuna ajenda gani hapo?
Kwa nini isiwe nyie mnaoipenda ya wazi mlegeze kamba?Kwa nini hamtaki kura ya siri?Kuna ajenda gani hapo?
Mkuu, kama umemwelea vizuri CHABRUMA, ni kwamba wanaopinga kura ya siri na kupenda ya wazi wameamza kwenda kinyume na misimamo yao. Hii ni kusema kuwa wanaweza kuunga mkono kura ya siri kwa lengo tu la maridhiano na kuruhusu mchakato uendelee. Vinginevyo, mchakato wa Bunge Maalum utakuwa umekwama. Nawapongeza sana wale waliokubali kushindwa kwa lengo la kuleta maridhiano
Soma hiyo post vizuri, waliolegeza kamba ni wanaopenda kura ya wazi kwa sababu kimsingi hawana hoja za msingi za kupinga kura ya wazi...
Mkuu, kama umemwelea vizuri CHABRUMA, ni kwamba wanaopinga kura ya siri na kupenda ya wazi wameamza kwenda kinyume na misimamo yao. Hii ni kusema kuwa wanaweza kuunga mkono kura ya siri kwa lengo tu la maridhiano na kuruhusu mchakato uendelee. Vinginevyo, mchakato wa Bunge Maalum utakuwa umekwama. Nawapongeza sana wale waliokubali kushindwa kwa lengo la kuleta maridhiano
Kwa nini isiwe nyie mnaoipenda ya wazi mlegeze kamba?Kwa nini hamtaki kura ya siri?Kuna ajenda gani hapo?
Kwa nini isiwe nyie mnaoipenda ya wazi mlegeze kamba?Kwa nini hamtaki kura ya siri?Kuna ajenda gani hapo?
Haiwezekani mpaka leo siku zinapita wanahangaika na kanuni. Ni kuchezea hela za watanzania. Kama muafaka haupo wapige kura jambo liamuliwe. Hizo siku 70 wakianza rasimu si zitaisha na hata 90 hazitatosha!
hujamwelewa, tafadhali rudia kusoma.
Hapo kwa nyekundu,,,,,njia watakayotumia ndiyo itakayokuwa imemaliza mvutano huo wa uwazi na usiri.
Leo tv zote hazina live coverage wakati kificho alisema wangeendelea leo asubuh. Kulikon
Hivi nqjiuliza kwa nini watu wang'ang'anie kura ya wazi. Mbona sijawahi kuona uchaguzi wowote unapigiwa kura ya wazi. Wanataka kuwatisha wapiga kura hapa au? Wanashindwa kutofautisha na zile kura za bungeni za Ndiyooooo! Au hapana!!!! Halafu utasikia naona waliosema ndiyo wameshinda. Pale kuna politics hapa siyo penyewe..Labda kama sijaelewa sababu ya ssem kuleta hii ajenga ya kura ya wazi
baada ya vikao vya jana kwenda vema hasa vile vya kamati na vile vya usuruhishi leo kanuni zinaweza kupita hatimaye zoezi la kupata mwenyekiti lifuate.
hivi nqjiuliza kwa nini watu wang'ang'anie kura ya wazi. Mbona sijawahi kuona uchaguzi wowote unapigiwa kura ya wazi. Wanataka kuwatisha wapiga kura hapa au? Wanashindwa kutofautisha na zile kura za bungeni za ndiyooooo! Au hapana!!!! Halafu utasikia naona waliosema ndiyo wameshinda. Pale kuna politics hapa siyo penyewe..labda kama sijaelewa sababu ya ssem kuleta hii ajenga ya kura ya wazi