Achana na hiko kisasi mkuu.Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.
Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.
Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Huo ni uongo Mwanume hata umkute mdada amepauka hana hata šÆ atampenda hivyo hivyo,wenye dhalau huwa ni nyie.No 3. Mwanamke ni muhimu sana kuwa na maisha yake, wanaume mna dharau sana mwanamke akiwa hana kazi naandika kwa experience. Mwanaume ambae hataki mwanamke anaejitegemea najua fika ni mnyanyashaji.
Pole kwa kupigwa kitu kizito pia asante inaa maana wote tuliopata wachumba hapa dar tumetendwa na kama ujatendwa utatendwa tu š¤£š¤£š¤£š¤£ Mungu tunusuru mpk sasa nmeshindwa kuchukua tnNatoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.
Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.
Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Heeeeh hupendi amani!Hao wa hvo ndo wa kudate nao sasa zile heka heka ndo Raha ya penzi! Binti akitulia sana hata hanogi bn unakuta jambo dogo tu ashaomba msamaha
Huo ni uongo Mwanume hata umkute mdada amepauka hana hata [emoji817] atampenda hivyo hivyo,wenye dhalau huwa ni nyie.
By the way hela yenu hata ukipata 10M kwa mwezi huwa haisaidi chochote,Wanawake mmejaa ubinafsi sana-sijui mumeumbwaje nyie.
Sawa sawa.Najitahidi kuandaa mazingira ambayo yatamfanya mke wangu asiwe tegemezi kwa watu baada ya kufa kwangu ila muda wote ambao niko hai mimi ndiyo niwe tegemezi lake kwa kila kitu.
Ofcooooooozzzzz!
We track vzr mahusiano yako ya kimapenzi uliyowahi kupitia utaona yale ambayo hamna conflicts za hapa na pale, hamnyimani utamu hamkwazani hamuachani na kurudiana Kuna namna hayanogiHeeeeh hupendi amani!
Hayo ya hivyo ndio nayapenda sasa. Uzee na shurba haviendani.We track vzr mahusiano yako ya kimapenzi uliyowahi kupitia utaona yale ambayo hamna conflicts za hapa na pale, hamnyimani utamu hamkwazani hamuachani na kurudiana Kuna namna hayanogi