Yaliyonipata jana usiku sina hamu.........!

Afadhali na wewe amekupa majini ya kukusaidia mgegedo ukipata hamu.
 
leo nimejua kwanini serikali inakataza watu wasivute bangi??
 

Si kila kitu lazima uingie huku na upost!!!
Nyie ndo mnafanya jf kupoteza ladha yake!!!!!!1
Una umri gani weye!!!
Au House boy!
 
Wavulana Jf wanaongezeka kwa kasi wanaume wamejiweka pemben!
 
Kweli kazi ipo yaani unawaza hayo tu muda wote, mkuu una safari ndefu sana ..........................
 
dah yaani mkuu kitendo cha kukataa ndo imekuwa ulete malalamishi humu, kuwa na moyo wa kiume basi mambo mengine si unamezea tu kama mwanaume, wanawake wawe wambeya kwa kushindwa kuhifadhi mambo moyoni na wewe kila kinachokutokea hadi useme humu ndani. dogo kakataa kufanya mapenzi si basi sa unatulalamikia si ili iweje
 
unastahili kupigwa makonde kutuletea uzi kama huu non sense kabisa
 


Ha ha haaa pole
 
Ninyi watu kwa nini mnapenda kulaghai na kuharibia watoto wa watu maisha yao. Unajua unavyofaya hivyo na watoto wako watafanyiwa hivyo. Unajitafutia laana na kizazi chako. Hatima yako ni kwenda jehanum maana wazinzi sehemu yao ni kwenywe ziwa la moto. Watu mliochafuka akili zenu kwa mambo ya uzinzi mnasumbua sana kwenye jukwa hili. Bwana Yesu alisema kimbieni hiki kizazi cha uzinzi na zinaa na kumtafuta yeye Bwana Yesu ili aweze kuwaokoa na dhambi zenu kabla ya mauti kukufikia.
 


Amina mtumishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…