Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

naona mlinzi wa mgombea mwenza kapendeza kuliko bosi wake... act vituko mwanzo mwisho!!!
 
Mgombea mwenza anakishukuru chama kwa kuumpa nafasi ya kugombea umakamu wa rais.
 
Sijaona wanachokizungumza zaidi ya kumuongelea lowassa...lowassa, sera hawana kabisa
 
Tumchague Mama Anna Mgwilla, na anamkaribisha.

mama Anna Mgwilla ndio anaanza kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…