Yah: Uchaguzi Serikali za mtaa

Hao ndo hata mihuli ya vijiji/mtaa wajarudisha japo nyadhifa zao zilishaisha muda wake.
 
Viongozi walishatolewa madarakani. Saizi hakuna wenyeviti wa mitaa, vijiji wala vitongoji, na wala hakuna halmashauri ya kijiji wa mji.

Kwa hiyo kama kabandika bango,kabandika kama mgombea yoyote anavoweza kufanya. Ingawa ofisi za serikali na majengo ya umma hayatakiwi kubandikwa matangazo ya wagombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…