Sio jambo la kuficha lakini ukweli ni kwamba usajili unaofanywa na Yanga katika miaka ya karibuni lazima aangalie Simba kuna wachezaji gani wanaowafaa aidha mchezaji aliyekuwa/aliyepita Simba ana nafasi kubwa kusajiliwa na Yanga kuliko mchezaji aliyekuwa Yanga kusajiliwa na Simba...mfano wachezaji hawa Nurdin Bakari , Athuman Chuji, Kevin Yondani, Mrisho Ngassa, Alli Mustapha "Bathez", Juma Kaseja, Twite,leo wametangaza kumchukua Golikipa Mushi (Dida) inamaana kwamba kamati ya usajili haina ujanja kufanya mambo kivyao vyao lazima wachungulie Simba?[/QUO
Lakini huyo Ngasa alianzia wapi kati ya timu hizo mbili. Vipi kuhusu Kiemba na Kigi Makasi. Twite kwani alishacheza Simba kabla ya hapo? Mchezaji akiwa sokoni timu yoyote inaweza kumpata bora kufuata taratibu na maelewano yawepo.