Yaani kaniganda kama luba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Kwa nini wadada wengine wanakuwa ving'ang'ang'anizi ? Na wanakuharibia kila kitu,yaani huna uhusiano nae ni urafiki tu wa kawaida ,hajulikani anakutaka au hakutaki ,ukimuita na kumualika anakuwa hafiki ,na akikuona na mwengine anaingia kati na kusambaratisha kila kitu juu chini.
.

Ingawa hii ni tabia ya wanawake, akikuona unazungumza na mwengine roho yake inaumia vibaya sana ,(Elimu ya saikolojia inasema hivyo) ,sasa vipi mnathubutu kuharibu mapenzi ya wengine wakati hamjawa tayari kusogelea mambo hayo?

Mimi napendana na mwengine wewe kimbelembele chako cha nini, yaani unijie unichangamkie, wakati nikishangaa vioja vyenu ,yule mhusika keshavimba na hayupo na kinachofuata ni kuniambia kumbe ndivyo ulivyo, umenidanganya huna mtu, ni balaa tupu, sijaielewa sababu kuu ya kunifanyia uhasidi huu,simuelewi.
 
Nilivyomaliza kusoma huu uzi nikajikuta nacheka. Siku zote nilikuwanadhani MWIBA ni mwanamke. Samahani nje ya mada.
 
Hilo nalo neno!! Kuzibiana riziki huku hakukubaliki!!
 
Nilivyomaliza kusoma huu uzi nikajikuta nacheka. Siku zote nilikuwanadhani MWIBA ni mwanamke. Samahani nje ya mada.

Nitakavyoonekana sina kinyongo ,ila wale wanaotukana na unaona haswa kuwa mtu kakutukana ,nao huwapuuza kwani elimu huanza kwa baba na mama ,huwezi kumlaumu ,nabaki kuwaimbea Mungu awahidi !

Am very freeman and simple najaribu kuona nonesense na kuziheshimu !
 
mwiba una mambo weye yani stori zako mi hooiiii!!
 
Utakua unamchekea na wewe,jaribu kumuwekea uso wa mbuzi.....au ni mwepesi wa kugawa fadhila?...(kumuhonga)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…