Yaani haya mapenzi jamani

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi,

Kama tupo wengi ebu tujitokeze kwa hii mada,hivi unajisikiaje umepanga ahadi na msichana halafu siku ya kugegedana linakuja limevaa jeans tyt ndani kapiga litaiti lenye vimfuko vya kuweka hela halafu katilia bonge moja la mkufuli?
Yaani ukiona mtu kaja kwa style hiyo ujue hana mpango wa kukupa papuchi siku hiyo.

Ila mdada njoo umevaa kasketi ndani unakakamba kako tu yaani hata soda haijaisha kitu kile mnarani unasubiri kuisogeza kamba uzuri haina hata haja ya kuivua ni kusogeza halafu tecno phantoom inaingia.

Yaani mapenzi ya siku hizi ni chupi inavuliwa baada ya tendo wakati zamani unavua kwanza halafu tendo maana kwanza binti anagauni,shumiz,gagulo,taiti halafu ndo chupi ila siku hizi kasket ndan kikamba tu tena wengine ndani holaa.

miss
chaga FaizaFoxy njoo basi uthibitishe
 
Hahaa mkali umeua.. Dem kavaa jeans alaf likifungo la juu gguuum kufungua mpka unaomba msaada. Ndani unakuta kapiga tyt moja ya hatari alaf baadae unakutan na pichu... Ish WTF..
 
Mkuu kwani wewe akija tu unamgegeda?si lazima akaoge kwanza bafuni ili uweze kuzama na chumvini......au we chumvini huzamagi mkuu?
Pole mkuu.
 
we mpe mambo flani ya romance atazivua mwenyewe ......tatizo mnapenda urahisi sana na wameshtukia cku hzi wanataka upate taabu kidogo ila kwa wazoefu wala hata avae nini atazivua mwenyewe.........
 
Naona machangudoa wanakufaa zaidi maana wapo uchi muda wote wanakusubiri wewe usiyependa usumbufu wa kuvua majinsi
 
Mkuu kwani wewe akija tu unamgegeda?si lazima akaoge kwanza bafuni ili uweze kuzama na chumvini......au we chumvini huzamagi mkuu?
Pole mkuu.
kwani alipotoka hajaoga?na maji yenyewe kwetu kimara shida
 
Achana na michepuko ya barabarani..., Oa uwe na wako ambaye anavaa nguo asilia mkiwako chumbani, wala hupati shida ya kumsaula kutafuta papuchi ilipo!!!
 
Mhuuuu!. Mnawaza Ngono 2 Hebu Nendeni JKT msiendelee kutuletea kharaha huku mtaani maana juzi kati mmetoka kula maharage sasa mnaenda kunywa uji wa moto+kipande cha mkate
 
Unataka uchumie kivulini na ule kivulini ndiyo shida ya vijana wa siku hizi!
 
Hahahah sema sikuhizi dada zetu wameelimika wanajua nini hua c tunataka. KaMiniskirt thong kwa ndani very easy to undress" yan hapo kitu mnara hata kabla ujafungua ukurasa kusoma kama yaliyomo yamo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…