Chadema yaani mpaka raha, lakini kuja kwa Chadema kama chama kikuu cha upinzani ambacho mwaka 2015 kinachukua dola kimepunguza mauaji ya wabunge wa CCM walivyokuwa wanauwawa siku za nyuma wakijua jimbo watalichukua kirahisi...lakini sasa jasho linawatoka kwenye meno. Hawathubutu tena kuwaua wabunge wao ref: Horance Kolimba and others