Twaha mora
Member
- Mar 25, 2019
- 12
- 5
Hio ndo imetoka bro, hicho ni chanzo muhimu cha kuongeza mapato kwa wenye mamlaka. Nakumbuka siku za nyuma kuna mzee mmoja walifunga gari yake pale clock tower, alivyokuja akawaonba wamufungulie gari yake ili awalipe wakakata ati hadi wapewe hela. Akatoa bastola ya na kuwalaza chini wote. Chuma walifungua wakiwa wamelala chini na hakuwapa hata 100.Leo nimepigwa faini ya uonevu kabisa sh 61,800 ,kisa nimegesha Gari pembeni kabisa ya barabara ilinpokee mzigo alie niletea nikafungua mlango Na kushuka kumpokea ile napanda kwenye Gari nakutana Na chuma kwenye Tairi,nimetafuta kila aina ya usaidizi nimekosa ,anae elewa pakupatia haki yangu anijuze ,nimeenda kukopa hio hela ya kulipa natamani kurudishiwa jasho langu
hiyo ni serikali ya CCM, wewe inaonekana ni mwalimu mstaafu umenunua pikap, sasa unavuna ulichopanda MAANA NYIE NDIO MNAIPIGIA CCM kura kila mwaka, pumb****Leo nimepigwa faini ya uonevu kabisa sh 61,800 ,kisa nimegesha Gari pembeni kabisa ya barabara ilinpokee mzigo alie niletea nikafungua mlango Na kushuka kumpokea ile napanda kwenye Gari nakutana Na chuma kwenye Tairi,nimetafuta kila aina ya usaidizi nimekosa ,anae elewa pakupatia haki yangu anijuze ,nimeenda kukopa hio hela ya kulipa natamani kurudishiwa jasho langu
Mambo ya vyama yanatoka wapi? Huu uonevu haulizi wewe Ni chama gani kinachotakiwa tupaze sauti ili ziwafikie huko juu,sio kukatishana tamaa Na kuingiza uvyamahiyo ni serikali ya CCM, wewe inaonekana ni mwalimu mstaafu umenunua pikap, sasa unavuna ulichopanda MAANA NYIE NDIO MNAIPIGIA CCM kura kila mwaka, pumb****
waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba weweMambo ya vyama yanatoka wapi? Huu uonevu haulizi wewe Ni chama gani kinachotakiwa tupaze sauti ili ziwafikie huko juu,sio kukatishana tamaa Na kuingiza uvyama