sio love storyPamojaaa japo mm nataman waweke Ile movie ya Carnibal au Wrong turn
Ana uhuru wa kutoa maoni, unazidi kujitoa kwenye kundi la wanamume rijali wewe mwanaume wa Kinondoni BiafraUngepita kimya ningekuona wa maana sana.
Hilo unalijua wewe, lakini nakushangaa sana ni mwanaume gani wewe, au wewe ni wale wenye makalio makubwa mkivaa suruali zinaingia katikati ya makalio?Utoto utakuwa unakusumbua mm ata dar sijawai fika. Tatzo ni pale tunapoamua kupangiana life style.