pole sana mkuu-mimi sitaki hata kuwaona liveNilienda Thailand nikakutana nao huwezi kuwatofautisha wakuu utafikiri akina mama. Baada ya kunikanda kanda na kuninyoosha rafiki yangu akanambia yule aliyekufanyia massage ni lady boy nilisikia kichefuchefu nikaamua kwenda kuoga tena. Acheni ni ngumu sana kuwatambua hawa jamaa.