Kipigo cha jana kilikuwa ni kitakatifu sana.
South africa imekuwa nchi ya kwanza ya afrika kufungwa zaidi ya goli moja tangu mashindano haya yaanze.
Vuvuzela zilizimika ghafla, sangoma aliyekuwa ameitabiria sauzi usindi wa bao 4 kwa moja, sijui leo ataongea nini?