Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 16, 2010 #1,461 Wasauzi walianza kuimba imba kule kwene tunnel,they r really annoying and irritating.
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,273 Jun 16, 2010 #1,462 Ha leo hizo vuvu... zitatoboa masikio ya watu!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 16, 2010 #1,463 In Forlan we trust.
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Jun 16, 2010 #1,464 Yegomasika said: Ha leo hizo vuvu... zitatoboa masikio ya watu! Click to expand... Jamaa wanapuliza kama hawana akili vile. Ila nina wasiwasi watafungwa!
Yegomasika said: Ha leo hizo vuvu... zitatoboa masikio ya watu! Click to expand... Jamaa wanapuliza kama hawana akili vile. Ila nina wasiwasi watafungwa!
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,890 Reaction score 129,941 Jun 16, 2010 #1,465 duh...sasa mguu wa nani hapo uko higher...huyu refa anataka kutuletea balaa
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Jun 16, 2010 #1,466 Yellow card to Pienaar, direct kick inaelekea SA
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Jun 16, 2010 #1,467 Huyu Lugano wa Uruguay katokea Mwakaleli nini?
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 16, 2010 #1,468 Pinaar kaishie kukandwa maji na mwana kamkosa.
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Jun 16, 2010 #1,469 Dakika ya 8 inakwenda, Uruguay wanaanza kuliandama lango la SA
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Jun 16, 2010 #1,470 Abdulhalim said: Pinaar kaishie kukandwa maji na mwana kamkosa. Click to expand... Jamaa kambamiza, naamini maumivu kayapata kwelikweli... Ila as an experienced player huenda hajasikia maumivu sana
Abdulhalim said: Pinaar kaishie kukandwa maji na mwana kamkosa. Click to expand... Jamaa kambamiza, naamini maumivu kayapata kwelikweli... Ila as an experienced player huenda hajasikia maumivu sana
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Jun 16, 2010 #1,471 RayB said: Huyu Lugano wa Uruguay katokea Mwakaleli nini? Click to expand... Basi na Luis Nani atakuwa ni mtu kutoka Dar hahahaha
RayB said: Huyu Lugano wa Uruguay katokea Mwakaleli nini? Click to expand... Basi na Luis Nani atakuwa ni mtu kutoka Dar hahahaha
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Jun 16, 2010 #1,472 Haya Mavuvuzela very annoying kwa kweli kama sisi watazamaji wa luninga tunayasikia hivi walioko uwanjani je? Imagine umekaa nao jirania hawa si raha ya mpira inaisha kabisa?
Haya Mavuvuzela very annoying kwa kweli kama sisi watazamaji wa luninga tunayasikia hivi walioko uwanjani je? Imagine umekaa nao jirania hawa si raha ya mpira inaisha kabisa?
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Jun 16, 2010 #1,473 Wasauzi hamna kitu bana kelele tu
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Jun 16, 2010 #1,474 Invisible said: Nyimbo ya taifa ya SA kama Bongo, basi raha kweli yani... Click to expand... mandela na nyerere walipeana mistari ha ha ha.
Invisible said: Nyimbo ya taifa ya SA kama Bongo, basi raha kweli yani... Click to expand... mandela na nyerere walipeana mistari ha ha ha.
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 Jun 16, 2010 #1,475 All the best to SA Squad!..Mavuvuzela yote kwa ajili yao,wakifungwa patatuliaa uwanjani!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 16, 2010 #1,476 Invisible said: Jamaa kambamiza, naamini maumivu kayapata kwelikweli... Ila as an experienced player huenda hajasikia maumivu sana Click to expand... Kiongozi maumivu yapo palepale.
Invisible said: Jamaa kambamiza, naamini maumivu kayapata kwelikweli... Ila as an experienced player huenda hajasikia maumivu sana Click to expand... Kiongozi maumivu yapo palepale.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Jun 16, 2010 #1,477 yaani mpaka sasa hawajafanya shambulizi zaidi ya sasa kupiga juu tu
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Jun 16, 2010 #1,478 Abdulhalim said: Kiongozi maumivu yapo palepale. Click to expand... Tshabalala anajipendelea bana, atasababisha SA wajutie hivi hivi. Mkuu, unajua mpira huo ukikubamiza wewe au mimi tunaugua wiki nzima? Hahahahaha
Abdulhalim said: Kiongozi maumivu yapo palepale. Click to expand... Tshabalala anajipendelea bana, atasababisha SA wajutie hivi hivi. Mkuu, unajua mpira huo ukikubamiza wewe au mimi tunaugua wiki nzima? Hahahahaha
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Jun 16, 2010 #1,479 Huyu Tshabalala anaharibu move za wenzie anabutuabutua tu to afunge mechi ya kwanza anadhani atakuwa anafunga tu
Huyu Tshabalala anaharibu move za wenzie anabutuabutua tu to afunge mechi ya kwanza anadhani atakuwa anafunga tu
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Jun 16, 2010 #1,480 Arsene Wenger said: mandela na nyerere walipeana mistari ha ha ha. Click to expand... Hahaha, sisi ndo tumedesa kwao?
Arsene Wenger said: mandela na nyerere walipeana mistari ha ha ha. Click to expand... Hahaha, sisi ndo tumedesa kwao?